Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?


Anza Wewe tukusikie!

Kwani mtu akisema mwaka Wa pili chuo ni lazima iwe chuo kikuu?
 
Shalom Baba! Huwezi jua, nimebahatika kukutana na member kazaa, wote wana masters kwenda mbelee.....
 
me darasa la nne ya zamani.. nimesoma chuo cha ufundi wa kushona viatu..
 
Ukizaliwa DSM ni form six.ukisoma mpaka form 4 una degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…