inferiority complex itakuuwa.... mwenzio kataja degree.... sasa kama VETA wanatoa degree utueleze
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Pole, mimi nimelikwepa ila cha kushangaza limeniumiza make ninayo afu sina kazi na hiyo degree"
Wewe una degree?
kile chuo umemaliza? Au ukiahirisha? Mie hata tu kuanza nimeahirisha, sijitambui.
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Kama degree ni kile kikofia, hata chekechea siku hizi wanavaa.
Si ungetafuta chuo kingine
Hahaha pole mwaya. Utajitambua soon, look forward the lightsat the end of the tunnel.
nimeanza mdogo mdogo, really taking my time. Ila ntachange mind soon, nataka nimfuate Jerrymsigwa huko mbinguni alipo
he he he he, nikipata digrii utanikoma.
Kwani wa Diploma hawapitii Vyuoni? Weka vizuri uzi wako....Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Nazichanga kwanza nataka nisome kwa fedha zangu mwenyewe,fedha za mikopo zilinifanya ni disco.
Hivi rose mhando alipewagwa honorary phd na university gani ile? Ukipata digrii moja mie nagaiwa ya tatu
Lazima iniue, ya nini mtusimangie midigrii?
Kwanza mie shida na digrii, waowaji wengi wanakuwa intimidated na wanawake wenye digrii, hasa wasonazo.