Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

Lazima iniue, ya nini mtusimangie midigrii?

Kwanza mie shida na digrii, waowaji wengi wanakuwa intimidated na wanawake wenye digrii, hasa wasonazo.

inferiority complex itakuuwa.... mwenzio kataja degree.... sasa kama VETA wanatoa degree utueleze
 
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,

imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.

Tubadilike jamani.

Infirioriti Kompleksi...!
 
Hahaha pole mwaya. Utajitambua soon, look forward to the lights at the end of the tunnel.

nimeanza mdogo mdogo, really taking my time. Ila ntachange mind soon, nataka nimfuate Jerrymsigwa huko mbinguni alipo
kile chuo umemaliza? Au ukiahirisha? Mie hata tu kuanza nimeahirisha, sijitambui.
 
Last edited by a moderator:
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,

imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.

Tubadilike jamani.

mbona mi husema wazi nimemaliza LY.
 
Na kweli, hizo hazihitaji haraka, mdogomdogo tu.

Nasubiri kwa hamu aisee, muda ufike.nianze Veta yangu.

Jerrymsigwa atakupoteza, mbinguni mbali.

Hahaha pole mwaya. Utajitambua soon, look forward the lightsat the end of the tunnel.

nimeanza mdogo mdogo, really taking my time. Ila ntachange mind soon, nataka nimfuate Jerrymsigwa huko mbinguni alipo
 
Last edited by a moderator:
Uwe Na Degree Sijui Master Wengine Hajui Hayo Ila TULIO FELI FORM 4 NDIO MAKING MAKER MTAANI MWISHO WA SIKU TUTAONANA UZEENI.
 
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,

imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.

Tubadilike jamani.
Kwani wa Diploma hawapitii Vyuoni? Weka vizuri uzi wako....
 
Ona sasa, Rose anazo 3 na wakati hajakanyaga chuo. Mie ntakupiku kimazingara, nna mganga wangu anatibu akili za darasani.

Hivi rose mhando alipewagwa honorary phd na university gani ile? Ukipata digrii moja mie nagaiwa ya tatu
 
Back
Top Bottom