Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

Elimu hata ya kujitambua inatosha hayo mavyeti njooni na statement zenu za benki
 

Ndugu yangu yaani ya humu ndani ukiyafuatilia, utachoka. Yaani;
-Hakuna mwenye vitz, wote wana v8
-Humu JF wote wanapiga bao 5 na kuendelea, sasa haya mabango ya kuongeza nguvu za kiume ni ya akina nani? Labda wana JF hawahusiki!
-Humu wote wapo dsm, wa Mkiu hayumo humu.
-Humu Jf kila mtu amewahi kupanda ndege au amepanda ndege muda huu.
-Mwenye KIBAMIA humu hayumo, humu kila mtu ana Tangopori tu. Chezea JF weyee!
-Humu watu tunajua kila kitu, mpaka dawa ya ebola imo humu.

-halafu kinginee, hakuna mla mihogo hata mmoja humu wakati kila siku tunapanga foleni kwa mama Cha Upepo.
JF iache kama ilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kama degree uliyo nayo hadi leo haijatatua matatizo yako ya jamii yako, ulipoteza muda kusoma bora ungeuza maandazi kwa hiyo miaka uliyosoma.
Wapo wenye hizo degree ila maisha wanashindwa na wabeba mabox kariakoo.
 
Nimecheka hadi basi, umesahau hizi

-wote ni wacha Mungu except Kiranga
-wote wana mapenzi ya kweli bila kujali hali ya mtu except lara 1

Na list inaendelea....
 
Last edited by a moderator:
Kama degree uliyo nayo hadi leo haijatatua matatizo yako ya jamii yako, ulipoteza muda kusoma bora ungeuza maandazi kwa hiyo miaka uliyosoma.
Wapo wenye hizo degree ila maisha wanashindwa na wabeba mabox kariakoo.

Mkuu Umenena Vyema Hebu Angalia Maisha Ya Maprofesa Yalivyo Unakuta MTU NA PROFESA WA UCHUMI HANA KITEGA UCHUMI AU PROFESA WA KILIMO HANA HATTA SHAMBA Ndio Maana Huwa Nasema Ukisoma Sana AKILI ZINARUDI ZINAKUWA KAMA ZA MTOTO
 
Kwani hujui kuwa hulka ya binadamu yeyote, anataka kwenye society aonekane yuko kwenye status ya matawi ya juu.

Hebu nikuulize swali moja tu, hivi yule mheshimiwa sana, ambaye hivi sasa yupo kwenye mjengo pale Dodoma, akihudhuria bunge maalum la katiba, ambaye ni mbunge kwa tiketi ya magamba, toka mkoani Tanga, ambaye anaitwa Profesa maji ya kina kirefu, siyo tu tujiulize kama ana Philosophy of Doctorate, bali tujiulize pia hivi kweli, hata hiyo standard seven au eight, alimaliza kweli?!
 
Hapa jf watu hawakutambui kwa digrii yako ila kwa hoja zako maana hamna anayekuona
Ila FB tunatambuana kwa elimu zetu!
 
mi naanza masters pale muslim university ths yr
 
Binafsi niliishia darasa la tatu tu, mwezi Aprili 1989, ila sijutii kuacha shule. Degree ndio nini? Ina mchango upi mkubwa ktk maisha halisi ya mtaani? Si wapo wengi, kuna lipi kubwa la maana wengi wao wanalofanya kwa faida ya jamii? Si madudu matupu?
 

Wewe na division 5 yako mbona husemi?
 
Nyingi digrii za "mitusi" na udini....usimbane kwa hoja kidogo tu we atakutukania mpaka bibi ya mchepuko wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…