Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
wako hadi darasa la nne humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Ukae ujue elimu inashuka hadhi tu, Hata zikifika izo pesa degree itakua haina thamani tena
Ndugu yangu yaani ya humu ndani ukiyafuatilia, utachoka. Yaani;
-Hakuna mwenye vitz, wote wana v8
-Humu JF wote wanapiga bao 5 na kuendelea, sasa haya mbango ya kuongeza nguvu za kiume ni ya akina nai? Labda wana JF hawahuski!
-Humu wote wapo dsm, wa Mkiu hayumo humu.
-Humu Jf kila mtu amewahi kupanda ndege au amepanda ndege muda huu.
-Mwenye KIBAMIA humu hayumo, humu kila mtu ana Tangopori tu. Chezea JF weyee!
-Humu watu tunajua kila kitu, hujui wewe ni wa facebook.
-halafu kinginee, hakuna mla mihogo hata mmoja wakati kila siku tunapanga foleni kwa mama Cha Upepo.
JF iache kama ilivyo.
Kama degree uliyo nayo hadi leo haijatatua matatizo yako ya jamii yako, ulipoteza muda kusoma bora ungeuza maandazi kwa hiyo miaka uliyosoma.
Wapo wenye hizo degree ila maisha wanashindwa na wabeba mabox kariakoo.
Kwani hujui kuwa hulka ya binadamu yeyote, anataka kwenye society aonekane yuko kwenye status ya matawi ya juu.Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
si kweli kuwa wote tuna degree.Mimi nimeishia darasa la saba.
mi naanza masters pale muslim university ths yr