Ndugu yangu yaani ya
humu ndani ukiyafuatilia, utachoka. Yaani;
-Hakuna mwenye vitz, wote wana v8
-Humu JF wote wanapiga bao 5 na kuendelea, sasa haya mabango ya kuongeza
nguvu za kiume ni ya akina nani? Labda wana JF hawahusiki!
-Humu wote wapo dsm, wa Mkiu hayumo humu.
-Humu Jf kila mtu amewahi kupanda ndege au amepanda ndege muda huu.
-Mwenye KIBAMIA humu hayumo, humu kila mtu ana
Tangopori tu. Chezea JF weyee!
-Humu watu tunajua kila kitu, mpaka dawa ya ebola imo humu.
-halafu kinginee, hakuna mla mihogo hata mmoja humu wakati kila siku
tunapanga foleni kwa mama Cha Upepo.
JF iache kama ilivyo.
Mkuu Umenena Vyema Hebu Angalia Maisha Ya Maprofesa Yalivyo Unakuta MTU NA PROFESA WA UCHUMI HANA KITEGA UCHUMI AU PROFESA WA KILIMO HANA HATTA SHAMBA Ndio Maana Huwa Nasema Ukisoma Sana AKILI ZINARUDI ZINAKUWA KAMA ZA MTOTO
Unaloongelea mkuu lipo sahihi kabisa lakini si unajua tena ukishang'atwa na nyoka.
Mbona fb member wengi wana ajira tena sekta nyeti na wamesoma udsm?wabongo watu wa kujilisha upepo sana
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Sio kwel mimi sikufika chuo chochote!
Mhhhh si kweli!
Kwa nini sio kwel?
Mhhh mi naona hivyo tu sina sababu yeyote.
Mkuu umesema kweli,ngoja mimi nitangulie kusema sina digirii kama wapo na wengine wafuatieShalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo? Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa? Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Mkuu umesema kweli,ngoja mimi nitangulie kusema sina digirii kama wapo na wengine wafuatie
kujikubari ni muhimu sana bila hivyo binadamu utaishi maisha ya hofu mpaka kufa.