Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

Acha tu mkuu,hapo penye red,si nikajaribu kuiga siku moja wacha! kufika la tatu tu karibu nife! nilikomaje? mwili wote jasho,miguu hoi.
jf bhana usiamini kila kitu.
 
Wakuu ulikuwa mtazamo tu ila naona wengi wamefanya kuwa vita.

UKAWA HATURUDI BUNGENI.
 
Ngoja mie wa form four ninyamaze niwaangalie wenye degree zao teh teh!
 
wengi wana degree ya uelewa wa mambo na udadisi wa hali ya juu bila hata ya kufika chuo...
 
Ukiingia hapa km ulikuwa huna degree utaipata2, km ulikuwa std7 utaibuka na forn6
 

Kwani wewe huna ka-degree?
 

Hee umesahau hao wanaoishi Dar wote wanaishi Masaki, O bay na Mbezi beach...Wa mwananyamala na Mtogole hamna kabisa humu...
 
Last edited by a moderator:
mi darasa la saba sina noma natusua maisha bila tabu tena kwa njia halali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…