tz2015
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 982
- 447
Acha tu mkuu,hapo penye red,si nikajaribu kuiga siku moja wacha! kufika la tatu tu karibu nife! nilikomaje? mwili wote jasho,miguu hoi.Ndugu yangu yaani ya humu ndani ukiyafuatilia, utachoka. Yaani;
-Hakuna mwenye vitz, wote wana v8
-Humu JF wote wanapiga bao 5 na kuendelea, sasa haya mabango ya kuongeza nguvu za kiume ni ya akina nani? Labda wana JF hawahusiki!
-Humu wote wapo dsm, wa Mkiu hayumo humu.
-Humu Jf kila mtu amewahi kupanda ndege au amepanda ndege muda huu.
-Mwenye KIBAMIA humu hayumo, humu kila mtu ana Tangopori tu. Chezea JF weyee!
-Humu watu tunajua kila kitu, mpaka dawa ya ebola imo humu.
-halafu kinginee, hakuna mla mihogo hata mmoja humu wakati kila siku tunapanga foleni kwa mama Cha Upepo.
JF iache kama ilivyo.
jf bhana usiamini kila kitu.