Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Juzi kuna barua nilipeleka kwa kiongozi fulani ili atie sahihi yake;
kiukweli kila nikitizama mwandiko aliutumia hapa, naona ni kama amechafua barua yangu[emoji16]
yaani kaandika shagarabagala kama vile mtu anajifunza kuandika kichina! (ningekuwa mwl ningesema huu ni uchafu)
ndipo nimekumbuka nilisoma sehemu fulani kwamba watu wenye miandiko mibaya wana akili sana.
hivi kuna ukweli hapo au ni kujifariji?