Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
mpwayungu village tuletee walimu hapa maana wewe unawajua, si watani wako!Walimu pls kujeni hapa mtoe jibu.
Walimu hawahawa tulionao au wengine?@mpwayungu village tuletee walimu hapa maana wewe unawajua, si watani wako!
π€£π€£π€£@mpwayungu village ni nani mkuu? Akuje haraka.@mpwayungu village tuletee walimu hapa maana wewe unawajua, si watani wako!
Nakubaliana na wewe. Wengi sababu ni hiyo.Ubongo unaenda fasta kuliko mwili,sijui kama ndiyo akili hiyo?
Kumbe upo karibu mkuu!! Vzr sanaWalimu hawahawa tulionao au wengine?
Mara nyingi inakua hivyo yani unawaza haraka kuliko speed ya mwili lakini kuna wengine wanamiandiko mibaya na Zero Brain zamani tulisema wanaandika majongoo
[emoji23]Mimi muandiko wangu mbaya haijapata kutokea na kichwani zumbukukuku ulimwengu uko huku,, hizo habari za sijui ukiwa na muandiko mbaya basi utakuwa kipanga kichwani hizo ni story za maskani kwa babu kidembwe muuza kimti pombe maarufu mjini,,
Madaktari wana kiburi sana yaani mwandiko kama imepita treni[emoji16]Akili nyingi unawaza kuliko unachotaka andika..kwa madaktari husababisha vifo kwe kutoa dawa Kwanini Madaktari huandika mwandiko usiosomeka? Husababishia vifo watu 7000 kwa mwaka Marekani
Nae anaelewa kuwa ameandika uongoWalimu pls kujeni hapa mtoe jibu.
Jiandae kisaikolojiaNae anaelewa kuwa ameandika uongo
Kunifanya nnJiandae kisaikolojia
unajihami nin[emoji3]Kunifanya nn
ππππ Jesuuuunajihami nin[emoji3]
kuna kitu nilitaka kufanya lakini roho mtakatifu kanizuia[emoji4]