#COVID19 Hivi ni kweli kuwa PIMA COVID-19 hawahitaji dola?

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Nilikuwa mjini Dar nikaona wageni / Wazungu sijui na waNigeria? wanahitaji huduma ya kupima korona

Wakawa wanaulizia wapi wanaweza kubadili Dola wapate shilingi kwa kuwa eti pima covidi inahitaji shilingi pekee.

Nikajiuliza
Hivi ni kweli kuwa wizara ya Afya haihitaji Dola?

Yaani dola ibadilishwe iwe shilingi mtu apime covid halafu wakati wa kuagiza dawa nje, Shilingi ibadilishwe tena kuwa Dola?

Something is not right here
 
Yaani hata hao agha khan na wengine wa type yake nao hivyo hivyo?
 
Nilikuwa mjini Dar nikaona wageni / Wazungu sijui na waNigeria? wanahitaji huduma ya kupima korona

Wakawa wanaulizia wapi wanaweza kubadili Dola wapate shilingi kwa kuwa eti pima covidi inahitaji shilingi pekee.

Nikajiuliza
Hivi ni kweli kuwa wizara ya Afya haihitaji Dola?

Yaani dola ibadilishwe iwe shilingi mtu apime covid halafu wakati wa kuagiza dawa nje, Shilingi ibadilishwe tena kuwa Dola?

Something is not right here
Hata na dola unalipa, labda waliona wanaambiwa rate ambayo hawaielewi
 
Naomba unielekeze unalipaje kwa dola wakati hawapokei Credit card, wala bank yao (NMB) Haipokee dola ni hadi ubadilishe ndio uweze kulipa. Eti wanategemea mtalii aje Tanzania akapange foleni NMB ili alipie covid; yaani hatupo serious!!!
Halafu utasikia wakijisifia kuwa wanahuduma nzuri kwa watalii
 
Sisi tulilipa kwa cash, tulitoa dola 100 na chenji tulipewa tena sio ya madafu ya hela hizo hizo tulizolipia!
Na fomu tulijazia toka airport ya huko huko tulipotoka!
Tena wala hawaku- complicate na ilikua 03:40 alfajiri na hatukupata usumbufu wowote kwenye hela zaidi ya wao kuchelewa kutuma majibu yetu tu na kutupotezea muda

Au labda tunaongelea vitu tofauti mkuu, mi nilikuwa naongelea pima covid ile ambayo unapimwa pale airport ukiwa unarejea home kutokea ughaibuni (rapid test)
Hii ya kupima ukitaka kuondoka huwa nalipia tu hela zetu na ni kwasababu huwa napimia hospital za serikali toka waondoe huduma hiyo pale mabibo
 
Hakuna Airport yoyote TANZANIA inatoa huduma ya PCR test...
Labda wewe unaongelea rapid Antigen test ile kwa sasa wanachage dola 10 na hiyo huduma haipo kwenye Pima covid
hivyo unaongelea kitu tofauti
 
Kwani kuna mahala nimeandika kuwa tulifanya pcr??
Mbona hata hayo maelezo uliyoquote nimesema kabisa kuwa ni rapid??
 
Back
Top Bottom