Alishakula kiapo jiwe kua 2020 hataki kuona upinzani na alishaanza na chaguzi za marudio wote tumeshuhudia nguvu kubwa ya dola inavotumika kuharibu chaguzi lkn mambo mabaya zaidi tumeshuhudia uchaguzi serikali za mitaa yaani ni vituko Dunia nzima inashangaa.2020 ndo hiyoo.....!! Naiona 'Risk' ya kukosa hata mbunge mmoja wa kurudi mjengoni iwapo mambo yataendelea kama ilivyo sasa..
Nzi wa kijani wamerudi kwa kasi. Tutawatuliza tu.
Mpaka sasa amejnga viwanda vingapi nchini?? Tuna awamu ya hovyo kweli kweli inapambana na upinzani na kutumia resource nyingi kupukutisha upinzani kwani upinzani ndio umefanya GDP isiongezeka au mfumuko wa bei za bidhaa zinaletwa na wapinzani?Hahahaaaaaa........ Umesikia Meya wa Mbeya kaunga mkono juhudi?!
Bado baba lao aka Sugu!
Mbowe,Mbatia,sugu,Joseph haule ,Zitto ,Lema ,Bulaya ,heche na Msigwa wanarudi mjengo2020 ndo hiyoo.....!! Naiona 'Risk' ya kukosa hata mbunge mmoja wa kurudi mjengoni iwapo mambo yataendelea kama ilivyo sasa..
Unamzungumzia mbeya tena we vpHahahaaaaaa........ Umesikia Meya wa Mbeya kaunga mkono juhudi?!
Bado baba lao aka Sugu!