Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Yataka moyo sana kusafisha mikojo
Aaah atakuwa kapewa U tiss yuko bize
Sugu anajitambuaHahahaaaaaa........ Umesikia Meya wa Mbeya kaunga mkono juhudi?!
Bado baba lao aka Sugu!
Aaah wapi Siasa ni upepo sio hesabu tulia uone2020 ndo hiyoo.....!! Naiona 'Risk' ya kukosa hata mbunge mmoja wa kurudi mjengoni iwapo mambo yataendelea kama ilivyo sasa..
Alishakula kiapo jiwe kua 2020 hataki kuona upinzani na alishaanza na chaguzi za marudio wote tumeshuhudia nguvu kubwa ya dola inavotumika kuharibu chaguzi lkn mambo mabaya zaidi tumeshuhudia uchaguzi serikali za mitaa yaani ni vituko Dunia nzima inashangaa...... Kupigwa risasi kutekwa na kunyanyaswa kiuchumi kwa wapimzani ndo mpango mzima wa ccm kwa sasa........ Mbaya Zaid rais aliwaita wasimamizi wa uchaguzi ikulu na kuwaagiza kutotangaza wapimzani..........
Wananchi wanahasira sn tutaona mambo mabaya hasa uchaguzi wa Mwaka huu
Ohooo ! Ngoja akushukie kama kipanga 😁lizaboni yuko wapi?
Alishakula kiapo jiwe kua 2020 hataki kuona upinzani na alishaanza na chaguzi za marudio wote tumeshuhudia nguvu kubwa ya dola inavotumika kuharibu chaguzi lkn mambo mabaya zaidi tumeshuhudia uchaguzi serikali za mitaa yaani ni vituko Dunia nzima inashangaa...... Kupigwa risasi kutekwa na kunyanyaswa kiuchumi kwa wapimzani ndo mpango mzima wa ccm kwa sasa........ Mbaya Zaid rais aliwaita wasimamizi wa uchaguzi ikulu na kuwaagiza kutotangaza wapimzani..........
Wananchi wanahasira sn tutaona mambo mabaya hasa uchaguzi wa Mwaka huu
Labda mjengoni pale 'UFIPA'Mbowe,Mbatia,sugu,Joseph haule ,Zitto ,Lema ,Bulaya ,heche na Msigwa wanarudi mjengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisema kitu siku hizi nakiangalia kwa jicho LA tatu ili nione lililojificha nipate ufahamu.Hawana jipya wala huhitaji kuwapa airtime... Ukiwafungia vioo hoja zao mfu zitakosa uchangiaji na hatimaye kufa kifo cha fasta
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hilo tuu, Tume huru ya uchaguzi ikiundwa hata Ikulu ccm hawataiona.Mbowe,Mbatia,sugu,Joseph haule ,Zitto ,Lema ,Bulaya ,heche na Msigwa wanarudi mjengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ya kwako ambayo Ina sense!Senseless!
Wahi, day limepanda na wataalamu wa kujifunza jinsi ya kupropagate wameletwa lumumba kutokea kitengo!Mimi mwenyewe kuanzia sasa naunga mkono juhudi.
Rudi nyumbani kumenoga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio matokeo ya zile gari nyeusi tatu zikiongozwa na mwanampendwa zilipeleka mzigo wa kuiwezesha zoezi juzi jumamosi usiku?Hahahaaaaaa........ Umesikia Meya wa Mbeya kaunga mkono juhudi?!
Bado baba lao aka Sugu!
Ni kweli haiwezekan wajitoe ufahamu kiasi kile sio bure kunauwezokano wanalipwaKuna sehemu kawe alumn kaandika thread alafu akaunga mkono mwenyewe kwene hiyo thead kajisahau kwamba id alotumia kuandika thread ndio id alotumia kuunga mkono juhudi, nlikuwa siamini kuhusu hawa jamaa sasa nimeanza kuamini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
🤔 thread ipi hiyo?Kuna sehemu kawe alumn kaandika thread alafu akaunga mkono mwenyewe kwene hiyo thead kajisahau kwamba id alotumia kuandika thread ndio id alotumia kuunga mkono juhudi, nlikuwa siamini kuhusu hawa jamaa sasa nimeanza kuamini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi hiyo kazi enzi za nape nilishawahi kuitwa nakufanya training kabisa ya pale lumumba ukumbi wa chini.. mungu si athumani nikapata ajila ila nami ningekuwa kama kina @wakudadavuaKuna sehemu kawe alumn kaandika thread alafu akaunga mkono mwenyewe kwene hiyo thead kajisahau kwamba id alotumia kuandika thread ndio id alotumia kuunga mkono juhudi, nlikuwa siamini kuhusu hawa jamaa sasa nimeanza kuamini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi hiyo kazi enzi za nape nilishawahi kuitwa nakufanya training kabisa ya pale lumumba ukumbi wa chini.. mungu si athumani nikapata ajila ila nami ningekuwa kama kina @wakudadavua
Mkuu mimi hiyo kazi enzi za nape nilishawahi kuitwa nakufanya training kabisa ya pale lumumba ukumbi wa chini.. mungu si athumani nikapata ajila ila nami ningekuwa kama kina @wakudadavua