Hivi ni kweli kuwa watetezi wa CCM mitandaoni waliokuwa kwenye mgomo?

Mnasihi,
Kumbe Yule Yeodavi kasingizia kaenda shule atakuwa bize kumbe yupo mgomoni.Nimeona Kawe alumni karudi kwa kasi kusafisha mikojo
 
Too low ,poor defencing
 
Wananchi hawa hawa Wa Tanzania unawazungumzia au hisia zako tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana jipya wala huhitaji kuwapa airtime... Ukiwafungia vioo hoja zao mfu zitakosa uchangiaji na hatimaye kufa kifo cha fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisema kitu siku hizi nakiangalia kwa jicho LA tatu ili nione lililojificha nipate ufahamu.
(Nimeona Jana mtu mmoja anasifiwa kupata PhD ya kutoka sijui Colorado! Na sifa nyingi juu yake. Nikakumbuka neno moja kuhusu yaliyotokea kule nchi ya Mangi Mareale sakata la upako. Nikasema tayari yameanza.)
Kwenye mabano haihusiani na thread hii Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe,Mbatia,sugu,Joseph haule ,Zitto ,Lema ,Bulaya ,heche na Msigwa wanarudi mjengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hilo tuu, Tume huru ya uchaguzi ikiundwa hata Ikulu ccm hawataiona.
Salamu za viongozi kuhamia ccm na wanachama kuikataa ccm Dr Bashiru kazipata huko Masasi na hata kijijini kwa Mwambe mwenyewe.
Hakika CCM inaingizwa chaka na hao wahamiaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaaaa........ Umesikia Meya wa Mbeya kaunga mkono juhudi?!

Bado baba lao aka Sugu!
Si ndio matokeo ya zile gari nyeusi tatu zikiongozwa na mwanampendwa zilipeleka mzigo wa kuiwezesha zoezi juzi jumamosi usiku?
Mbona mnakuwa wajinga Sana na hiyo dhana yenu ya kumnunua mchunga ng'ombe badala ya kuwanunua na ng'ombe wenyewe? Yaani mmepotoshwa kweli na mwenye kuwapa wazo Hilo bila kujua anawasaidia kukiua chama chenu kilichosalia kuungwa mkono na dola!
 
Ni kweli haiwezekan wajitoe ufahamu kiasi kile sio bure kunauwezokano wanalipwa
 
🤔 thread ipi hiyo?
 
Mkuu mimi hiyo kazi enzi za nape nilishawahi kuitwa nakufanya training kabisa ya pale lumumba ukumbi wa chini.. mungu si athumani nikapata ajila ila nami ningekuwa kama kina @wakudadavua
 
Mkuu mimi hiyo kazi enzi za nape nilishawahi kuitwa nakufanya training kabisa ya pale lumumba ukumbi wa chini.. mungu si athumani nikapata ajila ila nami ningekuwa kama kina @wakudadavua

Sasa angalia mkuu ivi kweli Nchi kubwa kama tanzania iendeshwe na propaganda za watu wasosoma aisee jaman TUAMKE KABISA....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu mimi hiyo kazi enzi za nape nilishawahi kuitwa nakufanya training kabisa ya pale lumumba ukumbi wa chini.. mungu si athumani nikapata ajila ila nami ningekuwa kama kina @wakudadavua

Unajua Nazid kushangaa sana aisee ila Watu wasahaulifu sana kudadeki


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…