Tatizo la watanzania huwa hatuvikubali vya kwetu always ni watumwa wa vya kuja,basi wewe mwenye bachela kaigize tuongeze idadi Yao kama hoja ni idadi,Leo nimewasili Mbeya ndani ya basi nikawa naangalia filamu ya dude,Rita na jamaa mmoja juu ya kisa cha Rita kucheat...hawa vijana wanajitahidi tatizo tumewadharau,,,ilipaswa tuwatie moyo filamu zao ziwe bora zaidi ya hapa zilipo zizinduliwe ktk premiere shows kwenye majumba kv cinemax tungepunguza tatizo la ajira hasa kwa hao wenye bachela,,,,,,Nigeria wamejitahidi kuubomoa huo ukuta wa elimu nollywood,Sie tumesalia kuwaponda na kuidharau Bongo Movie,let's be fair to our movie industry...