Hivi ni kweli kwa wasanii Bongo Movies

Hivi ni kweli kwa wasanii Bongo Movies

ryan riz

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
423
Reaction score
683
Eti hawazid hta watano waliomaliza form six?usiulizie degree maana huko ni sawa na kuiona pepo wakati ulikufa ukiwa unazini....maana ukitoa wale ma miss wa kipnd kile kanumba aliowa'boost cdhani km wengine wapo....
 
Tupo na chuo tumefika na degree tumezipata.
Lete hoja ya ujenzi sasa.

jitaje kwa jina na umesoma chuo gani? A-level umesoma shule gani?na mwaka wa hivyo vyote viwili.......hatutaki english course za indonesia ya wema na wale wabunge wetu wa jamhuri ya muungano..mixer vyeti vya adobe mje mtudanganye hapa....
 
jitaje kwa jina na umesoma chuo gani? A-level umesoma shule gani?na mwaka wa hivyo vyote viwili.......hatutaki english course za indonesia ya wema na wale wabunge wetu wa jamhuri ya muungano..mixer vyeti vya adobe mje mtudanganye hapa....

Mkuu huyu sio mai gelofulend kwel?:what:
 
mbona nimesikia wema sepetu ana degree ya tourism wakuu..........!!!!!!!!!!!1

huyo anajulikana na induction course ya english course ya tourism ya huko ambao wenyeji wanayoisoma ni wale km wanao wabebea mizigo huku wa talii...we nenda moshi au arusha utakuta vijana walivyona munkari wa kukijua kidhungu ili wapate dili za kubeba mizigo ya sisi watalii...so wema aliona aibu kuisomea hapa ikabidi aende nje.....ila ingekuwa hichi kipindi cha BRN wema ndio anapiga pepa,labda angeweza kufaulu.....
 
kwani jamani kuna tatizo? kama wanaweza kutumia vipaji vyao na stil wakawa na hela kuliko wewe mwenye degree upi ubaya wao? mf kanumba si alikuwa form six leaver tu! na bado alinga'ara.
 
Duh ila wana hela

ila zao sasa ndio utazishangaa....madem wakikosa tu madume yaani ndani ya miezi miwili tu bila mahusiano unakuta wanakosa hata ela ya saloon au mafuta ya gari...na wa kiume bila masugar mamie hapa town utaona wanavopiga vizinga kwa washkaji..alafu wanapenda sana kuwa na washkaji wa kiarabu...na ndio maana wengi wanakuwaga na skendo ya kuliwa FUTA a.k.a Ziziini
 
Tatizo la watanzania huwa hatuvikubali vya kwetu always ni watumwa wa vya kuja,basi wewe mwenye bachela kaigize tuongeze idadi Yao kama hoja ni idadi,Leo nimewasili Mbeya ndani ya basi nikawa naangalia filamu ya dude,Rita na jamaa mmoja juu ya kisa cha Rita kucheat...hawa vijana wanajitahidi tatizo tumewadharau,,,ilipaswa tuwatie moyo filamu zao ziwe bora zaidi ya hapa zilipo zizinduliwe ktk premiere shows kwenye majumba kv cinemax tungepunguza tatizo la ajira hasa kwa hao wenye bachela,,,,,,Nigeria wamejitahidi kuubomoa huo ukuta wa elimu nollywood,Sie tumesalia kuwaponda na kuidharau Bongo Movie,let's be fair to our movie industry...
 
Hivi Tom Cruise, Cameron Diaz, Elton John,Azim Premji,Jim Carrey, Micky Jagtiani, Richard Branson, Diamond Platinum, Deepika Padukone, Hillary Swank, Mukesh Ambani, Amir Khan na Bill Gate wana degree gani?
 
​Ngoja tutapata majibu,ila ninachokijua mimi wengi wao ukiwa na uwezo wa kuwatoa kitu cha 10,000 kwa siku unabeba na anajiandika amepata pedeshee.
 
Back
Top Bottom