Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Habari za Majukumu wakuu. Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Ningeomba niende moja kwa moja kwenye hii mada na nitaielezea kwa ufupi.
Ni kisa nilichokutana nacho katika chombezo la hapa na pale na mwanamama au niseme mwanadada wa makamo ndipo katika ucheleweshwaji wa huduma akanipa kamsemo akisema:
"Adam alifeli pale bustanini hedeni kwa kushindwa kumuhudumia Hawa (Eva) mpaka pale alipotokea Joka Shetani katika pitapita za huku na kule Hawa au Eva akakutana na Joka Shetani na Shetani Ibilisi bila hiyana akamtoa Eva lunch yaan chakula cha mchana huku Adam akiwa hajui chochote kinachoendele"
Na akaendelea kuniambia:
"kwa kua Hawa (Eva) hakua mchoyo alibeba kile kiasi cha lunch yaan chakula cha mchana alichokipata kwa Joka Shetani akampelekea na Adam ili ale inamaana Hawa (Eva) alibeba jukumu la kumuhudumia Adam huku Adam akiwa hajui jukumu lake pale bustanini ni kumuhudumia Hawa (Eva)."
Naombeni maelezo huyu alieniambia haya alikua yupo sahihi au amekengeuka?
Ni kweli Adam alikua anakwepa majukumu ndio maana Hawa akaenda kutolewa lunch na Joka Shetani Ibilisi?