Hivi ni kweli kwamba kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?

Hivi ni kweli kwamba kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?

MrCardo

New Member
Joined
Jun 16, 2025
Posts
4
Reaction score
0
Eti Wakuu hii ina ukweli?

Hivi ni kweli kuwa kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?
 
Eti Wakuu hii ina ukweli?

Hivi ni kweli kuwa kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?
Kwani kukaa mbali na utumwa ni kosa?? Ni utumwa wa kupumbaza akili. Fikiria mtu akuambie hata ukiteseka kuna maisha mazuri mbinguni! Huo sio ufinyo wa kufikiri?Nijibu swali, Mungu wa kweli hayupo kwenye hizo dini, unamkaribia Mungu wa kweli ukikaa mbali na hizi dini zilizokuja kwa usafiri wa meli.
 
Eti Wakuu hii ina ukweli?

Hivi ni kweli kuwa kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?
Ni kweli kwa maana kwa akili zako hutaweza kuzijua njia za Mungu

Japokuwa utasoma vitabu vya dini na kuomba au kuswali .

Lakini kuna mambo Mungu atataka ukajifunze kwa viongozi wa dini au watu wengine
 
Eti Wakuu hii ina ukweli?

Hivi ni kweli kuwa kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?
MUNGU NA DINI NI VITU VIWILI TOFAUTI. wenye Dini wengi hawana MUNGU
 
Back
Top Bottom