Hivi ni kweli "kwenda chumvini" kunasababisha meno kuuma?

Hapana.

Sijajibu kama daktari btw.
 
Chumvini ni wapi uko?
 
Tiba rahiiisi, shuka kidogo kwenye 0655 nyonya pia meno yatapona Mkuu…
 
Hakuna madhara yeyote hapo brother.

Ushauri wangu;
Uwe unaangalia na kuzingatia usafi wa mhusika.

Mimi ni Team Captain wa Uvinza FC.

Usitoroke kambini.
 
" Bora hako ka ugonjwa ka meno tu,Siku ukikutana na MAMBA humo topeni ndo utasimulia vizuri"
 
Inawezekana mana kufanya hivyo ni Kinyume na maumbile.
Ushoga na Chumvini vyote ni kinyume na maumbili kwa hiyo lazima kuwe na madhara mana maumbile ya mdomo na ulimi hayakuumbwa kwa kazi hiyo.

Hata ukinywa maji kupitia puani utapata madhara mana sio sehemu yake.
 
SIDHANI KWA UCHACHU WA LIMAO YA CHUMVUNI KAMA KUNA BACTERIA ANAWEZA KUISHI HUKO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…