everybody JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 337 Reaction score 103 Nov 1, 2010 #1 Haya matokeo yamechukua muda mrefu sana...Nasikia Lwakatare kashindwa, ni kweli? Mwenye habari kamili jamani?
Haya matokeo yamechukua muda mrefu sana...Nasikia Lwakatare kashindwa, ni kweli? Mwenye habari kamili jamani?
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Nov 1, 2010 #2 Yea, nilisikia asubuhi kutoka itv kuwa Lwakatare ameshindwa.
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Nov 1, 2010 #3 alishindwa kuwatumikia vyema wana bukoba,acha ashindwe
everybody JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 337 Reaction score 103 Nov 1, 2010 Thread starter #4 Duh, bad news!!!!!!
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #5 Upo utata mkubwa sana
K Kenge (Eng) JF-Expert Member Joined Dec 7, 2006 Posts 543 Reaction score 160 Nov 1, 2010 #6 Confirmed: Lwakatare kashindwa matokeo yametolewa STAR TV saa 1.00jioni.
P PapoKwaPapo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2008 Posts 380 Reaction score 45 Nov 1, 2010 #7 aah achani utani jamani
Prodigal Son JF-Expert Member Joined Dec 9, 2009 Posts 1,068 Reaction score 711 Nov 1, 2010 #8 everybody said: Haya matokeo yamechukua muda mrefu sana...Nasikia Lwakatare kashindwa, ni kweli? Mwenye habari kamili jamani? Click to expand... Kashindwa kwa tofauti ya kura 4000 kuna taarifa kakubali matokeo
everybody said: Haya matokeo yamechukua muda mrefu sana...Nasikia Lwakatare kashindwa, ni kweli? Mwenye habari kamili jamani? Click to expand... Kashindwa kwa tofauti ya kura 4000 kuna taarifa kakubali matokeo
BabuK JF-Expert Member Joined Jul 30, 2008 Posts 1,845 Reaction score 329 Nov 1, 2010 #9 Huwezi kutumikia mabwana wawili....Mali ya kidunia na Mungu..lazima moja litakuponyoka!!!!!... Asema Bwana!!
Huwezi kutumikia mabwana wawili....Mali ya kidunia na Mungu..lazima moja litakuponyoka!!!!!... Asema Bwana!!
meddie JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 434 Reaction score 125 Nov 2, 2010 #10 Ameshindwa jimbo gani na nani wachama gani kashinda??