Elections 2010 Hivi ni kweli Lwakatare ameshindwa!!!???

Elections 2010 Hivi ni kweli Lwakatare ameshindwa!!!???

everybody

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
337
Reaction score
103
Haya matokeo yamechukua muda mrefu sana...Nasikia Lwakatare kashindwa, ni kweli? Mwenye habari kamili jamani?
 
Yea, nilisikia asubuhi kutoka itv kuwa Lwakatare ameshindwa.
 
alishindwa kuwatumikia vyema wana bukoba,acha ashindwe
 
Confirmed: Lwakatare kashindwa matokeo yametolewa STAR TV saa 1.00jioni.
 
Huwezi kutumikia mabwana wawili....Mali ya kidunia na Mungu..lazima moja litakuponyoka!!!!!... Asema Bwana!!
 
Ameshindwa jimbo gani na nani wachama gani kashinda??
 
Back
Top Bottom