Hilo haliwezekani wakati uchaguzi ni mwakani.....viongozi wa Africa wanajali siasa kuliko maendeleoZa mda huu wadau wa hapa.
Leo nikiwa sehem na baadhi ya watu tunapiga story.mtu mmoja akasema ni kama amesikia tangazo kuwa machinga Mwanza mwisho ni mwezi wa sita maana serikali ina mpango wa kuanza kupanga mji inavyotaka.
Tafadhari mwenye uelewa zaidi atuambie kuthibitisha.
Wa sukumaland
Asante Kwa kunielewesha na kutoa ufafanuziSio kweli kwamba machinga mwisho mwezi wa sita, suala lililopo ni ujenzi wa soko la kisasa litakalojengwa katikati ya mji maeneo ya Tanganyika na soko kuu ( ngolo). Ujenzi utaanza mwezi wa 6 na wafanyabiashara wote wamepewa muda wa kutafuta maeneo ya muda wakati ujenzi ukiendelea , wiki hii wameanza kuandikisha na kuwapiga picha wafanyabiashara ili jengo likiwa tayari waliopo maeneo hayo wapewe kipaumbele.
Sent using Jamii Forums mobile app