de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine.
So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no where nashangaa tu nimemuwaza! Hata bila sababu! Nikawa nakaushia tu ukizingatia walisha hama na sina namba na hata sidhani kama angenikumbuka. Ila inapita miezi au weeks kadhaa namuwaza tena bila sababu tu kama tunavyokumbukaga vitu vya zamani for no reason.
Mwaka juzi nikaungwa group la primary WhatsApp! Af ukizingatia ilikua imekaribia birthday yangu, so ilivyofika tu nikapostiwa. Watu walikua wamenimiss kinoma hasa mademu, duuh niliwishiwa vyakutosha ila madume mengi yalikaa kimya najua yalikua na jealous🤣 tu.
So baada ya bday kama siku 3 hiv nashangaa dm. Mtoto sijamtambua! Nikamwambia akasema tumesoma wote primary na namba yako nimetoa huko... long story short ni pisi ambayo skutegemea itanitafuta... hatukuwahi ongea, primary na hatukumaliza la saba wote. Ila nikikua nampenda kichizi. Na nilikua naota ndoto sometimes af naamka najilaani kuota ndoto za kijinga na kuuharibu usingizi wangu.
Ukweli nilichanganyikiwa na kuhisi labda ninanguvu zisizo za kawaida... baada ya hilo jambo kutokea.
Je kuna uhalisia wowote kuhusu mawazo ya binadamu kutengeneza uhalisia.? Kunavitu vingi vimeshawahi tokea kwa kuviwaza kwanza baada ya hilo tukio. Najua kuna watu wanaexperience zao pia karibuni.