Miradi ile ya barabara za Afrika mashariki Arusha ilishasimama hela imeelekezwa Mwanza na Geita.Kuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele.
Kuna wemgine wanapinga wanasema kama suala ni Chadema mbona Arusha, Moshi, Kawe, Ubungo nk kuna miradi mikubwa tu imejengwa na serikali wakati wabunge wa hapo ni Chadema? Mbeya inakwama wapi?
Awamu hii ukitoa Dar es Salaam, maendeleo yote yameelekezwa Mwanza kwa kiasi kikubwa, Arusha na Dodoma
Serikali inapokuwa madarakani inawajibika kisheria kupeleka maendeleo kwa wananchi haijalishi mbunge wao ni wa chama gani, haijalishi mbunge wao anaiponda serikali au anaisifia.Upinzani wetu ambao tumeletewa na Wazungu, hawakutufunda vizuri kuelewa maana ya upinzani, kuna Wakati viongozi wetu hudhani, mtu akiwa mpinzani basi unakuwa ni adui
Na unapokuwa mpinzani, basi pia unawaona walio kwenye Chama kingine nao ni maadui
Siasa yetu Kwa asilimia kubwa iko hivo, na ndiyo maana unaweza kukuta maeneo ambayo yanaongozwa na wapinzani serikali inaweza kutokupeleka maendeleo huko, ingawa Kwa sasa ni kama kunajitihada kidogo zinaoeka
Wakati huohuo,wapinzani nao, kuponda sana tena Sana na ikiwezekana na matusi juu kuitukana Serikali hata mahali ambapo hakuna sababu ya Kufanya hivyo, IL mradi tu kuwepo huo uadui, kiasi ambacho hakina maana nawala hakitupi faida yoyote sisi wananchi
Kwani ukiwa mpinzani, haiwezekani ukawa rafiki na serikali? Je ukiwa ndio serikali haiwezekani Ku rafiki wa Vyama Vyote
Tunapaswa kuijenga siasa yetu huku tukijua, siasa si uadui, hoja ndio tuzishambulie Kwa nguvu, Ila Sisi tuwe Taifa moja, Inashindikana nini Mbowe kuwa rafiki wa Jobu
Magu na Lisu, Paul na Tindo, USR na masile nation n.k
Siasa zetu mbovu zinaanzia hapa hapa, watu kutojadiri hoja na badala yake kujadil mtu
Dr aendelee kutulia tu,Mbeya sio dodomaHata mimi sijui ila lisemwalo lipo kama halipo laja ngoja tumchague Dr Tulia msimu huu tuone utofauti.
Mkuu asante, sasa Mbeya kuna hayo malalamiko, shida ni nini? Siasa mbovu au wanasiasa wa huko ni wabovu?Serikali inapokuwa madarakani inawajibika kisheria kupeleka maendeleo kwa wananchi haijalishi mbunge wao ni wa chama gani, haijalishi mbunge wao anaiponda serikali au anaisifia.
Wananchi wanahaki ya kuilalamikia serikali na ikiwezekana kuiondoa pale inaposhindwa kutimiza matakwa yao.
Hakuna sheria yoyote inayoweka sharti kwa wananchi kuisifia serikali ili ipeleke miradi ya maendeleo kwao. Hivyo serikali kutegemea isifiwe ndiyo ipeleke maendeleo ni serikali iliyojaa wezi na washenzi.
Kazi ya upinzani siyo kuisifia serikali haijalishi inafanya vizuri au vibaya kazi ya upinzani ni kutoa mtazamo mbadala dhidi ya sera za serikali iliyopo madarakani ikiwezekana kuioponda kwa njia zote za kisiasa.
Hivyo yote ulichoandika hapo juu umeandika as if umejaza takataka kichwani na siyo ubongo.
Rudi tena kwenye darasa la civics
Awamu ya tano imeibua hizi siasa za kibaguzi na wamekuwa wakisema wazi wazi juu ya ubaguzi huu kwenye mikutano ya hadhara.Mkuu asante, sasa Mbeya kuna hayo malalamiko, shida ni nini? Siasa mbovu au wanasiasa wa huko ni wabovu?
Mkoa gani umepewa maendeleo awamu ya tano zaidi ya chato iliyopelekewa maendeleo ya vitu?Kuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele.
Kuna wemgine wanapinga wanasema kama suala ni Chadema mbona Arusha, Moshi, Kawe, Ubungo nk kuna miradi mikubwa tu imejengwa na serikali wakati wabunge wa hapo ni Chadema? Mbeya inakwama wapi?
Awamu hii ukitoa Dar es Salaam, maendeleo yote yameelekezwa Mwanza kwa kiasi kikubwa, Arusha na Dodoma
Upinzani wetu ambao tumeletewa na Wazungu, hawakutufunda vizuri kuelewa maana ya upinzani, kuna Wakati viongozi wetu hudhani, mtu akiwa mpinzani basi unakuwa ni adui
Na unapokuwa mpinzani, basi pia unawaona walio kwenye Chama kingine nao ni maadui
Siasa yetu Kwa asilimia kubwa iko hivo, na ndiyo maana unaweza kukuta maeneo ambayo yanaongozwa na wapinzani serikali inaweza kutokupeleka maendeleo huko, ingawa Kwa sasa ni kama kunajitihada kidogo zinaoeka
Wakati huohuo,wapinzani nao, kuponda sana tena Sana na ikiwezekana na matusi juu kuitukana Serikali hata mahali ambapo hakuna sababu ya Kufanya hivyo, IL mradi tu kuwepo huo uadui, kiasi ambacho hakina maana nawala hakitupi faida yoyote sisi wananchi
Kwani ukiwa mpinzani, haiwezekani ukawa rafiki na serikali? Je ukiwa ndio serikali haiwezekani Ku rafiki wa Vyama Vyote
Tunapaswa kuijenga siasa yetu huku tukijua, siasa si uadui, hoja ndio tuzishambulie Kwa nguvu, Ila Sisi tuwe Taifa moja, Inashindikana nini Mbowe kuwa rafiki wa Jobu
Magu na Lisu, Paul na Tindo, USR na masile nation n.k
Siasa zetu mbovu zinaanzia hapa hapa, watu kutojadiri hoja na badala yake kujadil mtu
Na kongwa je?Kuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele.
Kuna wemgine wanapinga wanasema kama suala ni Chadema mbona Arusha, Moshi, Kawe, Ubungo nk kuna miradi mikubwa tu imejengwa na serikali wakati wabunge wa hapo ni Chadema? Mbeya inakwama wapi?
Awamu hii ukitoa Dar es Salaam, maendeleo yote yameelekezwa Mwanza kwa kiasi kikubwa, Arusha na Dodoma
Huyo Jimbo lake la Ikulu linamtoshaSafari hii tuna mchagua DKT TULIA ACKSON MWANSANSU
Mbona hili Mwenyekiti wa UVCCM alishalitolea ushahidi hadharani , umeuliza majibu mkuuKuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele.