Hivi ni kweli Mbowe na Ndesamburo wanaidai pesa Chadema

Hivi ni kweli Mbowe na Ndesamburo wanaidai pesa Chadema

Gazeti la mzalendo 15 may 2011. hicho ni chombo kimojawapo kimetoa hiyo habari

Kuna magazeti tunayosoma kupata habari hakiki, hayo magazeti sijui mzalengo na uhuru ndio unanikumbusha leo sababu ni damn nilishayasahau. Habari yako ingejikita kwenye vyombo vinavyohakiki habari zao ningeendelea kufuatilia topic hii, lakini toka mzalendo sina muda bora niende kwenye topic nyingine.
 
Gazeti la mzalendo 15 may 2011. hicho ni chombo kimojawapo kimetoa hiyo habari
Bado unaliamini gazeti la Mzalendo na Uhuru? Hayo ni magazeti ya kufungia maandazi tu.
 
CDM political doctrine: There is only one political GOD in Tanzania, that is WILBROAD and that FREEMAN is his prophet.

hawa ndo mtaji wa cdm?wakifa je?maana yake hamn chama?hv chama ni mtu au taasisi?
 
Masikini vibaraka wa ccm moto wa utazameni tu MOTO WA CHADEMA hauzimwi kwa kope za macho...! Mpeni salamu kaka yenu Nape.
 
Kudai na kudaiwa ni vitu vya kawaida katika maisha ya binadamu!sijui cha ajabu hapo ni nini!!!
 
Nadhani umesikia vibaya tune vizuri radio yako maana habari zenyewe zilikuwa hivi: Baadhi ya mabenki ya biashara nchini yanaidai serikali mamilioni ya fedha. Serikali ililazimika kukopa ili kulipa mishahara ya waafanyakazi huku majidiliano na Ankle Sam yakiendelea. Hata hivyo Ankle Sam katoa hela aprox Tshs 840 bilioni ambacho ni $80 less kuliko mwaka 2010.

nadhani hata we umesikia vibaya.hizo shs milioni 840 marekani haijatoa hata senti.
Afu unasemaje kuhusu hili hadi leo asubuhi deni inalodaiwa marekani limefikia dola trioni 14,30.wiki tatu zilizopita marekani ilishiwa pesa hadi ikatishia kufunga serekali leo WANAKOPA PESA TOKA MASHIRIKA YA PENSION.
Hivi wadhani tatizo la uchumi liko tu hapa bongo nenda hapa.
Us Deptclock.org
uwage unafanya research kabla ya kumwaga data.
Peace
 
Kha..it is billiön 840.not milion.
Afu mkuu umesema msaada ni pungufu ya dola 80.
Hiyo mbona haizidi laki na ishirini mkuu FJM
 
Wana JF.
Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera, Kanga, Kofia, Fulana, kwa ajili ya uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Na Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo anakidai chama Sh. 296 milioni, kwa ajili Helikopta zake zilitumika kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu mwaka 2010
Are you really a Great Thinker?
Wapi CHADEMA waligawa vitu kama hivyo vyekundu?

  1. Je, wajua CHADEMA walipata ruzuku kiasi gani na wametumia kiasi gani?

  1. Kwani Lowassa na Rostam wanaidai CCM kiasi gani?
Binafsi napata wasiwasi na U-Great Thinker wako, unless you are a Great Thinner...
 
Are you really a Great Thinker?
Wapi CHADEMA waligawa vitu kama hivyo vyekundu?

  1. Je, wajua CHADEMA walipata ruzuku kiasi gani na wametumia kiasi gani?

  1. Kwani Lowassa na Rostam wanaidai CCM kiasi gani?
Binafsi napata wasiwasi na U-Great Thinker wako, unless you are a Great Thinner...
Kumbe lowassa anaidai ccm?
 
Back
Top Bottom