Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Wapo ila ndo uwapate wale ambao wamejitoa kwelikweli kwamba wao kuloga ni kama hobby yao kuu bila kujali sana hela. Wengi kwa sasa wahuni wanatanguliza sana hela. Huko Rukwa ndani ndani nadhani wapo. Mimi namfahamu mzee mmoja ka-specialize kutoa adhabu tu kwa watu kama vile vifo na ukichaa. Waganga wenzake wakipata kesi zinazohitaji adhabu wanakuandikia rufaa uende kwake. Yeye ni specialist.
 
Back
Top Bottom