Hivi ni kweli mlevi huwa harogeki?

Hivi ni kweli mlevi huwa harogeki?

Uchawi hauendagi kwa mentally

lakini kwa mlevi unaingia.
 
Kuna wajuvi walisema mlevi na mvuta bhangi wanaogopwa na wanga.
 
Mshana Jr anasemaje kuhusu hili 😊😎😊😎(jokes)😂😂😂
 
Kuna jamaa kila akilewa hutukana hovyo akitaja wachawi usiku akiwa anarudi kutoka kwenye ulabu,siku moja na pombe zake akajikuta kapakwa kimba na inasemekana hakujinyea.
 
Back
Top Bottom