Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,325
Umuofia Kwenu,
Juzi kati kuna mshkaji wangu alikuwa na dem walikubaliana kupeana mambo. Huku na huko ukafika ule muda wa kupumzika bidada akaandaa mazingira tayari kwa kupumzika. Sasa kumbe huyu jamaa yangu alipanga wapime afya kwanza kabla ya mpambano na jamaa alikuwa na vifaa vyote vya kupimia.
Baada ya kumjuza yule bidada mambo ya kupima utata ndo ukaanzia hapo. Bidada alianza kutia mgomo kifupi hakuwa tayari kupima. Baadae alipima lakini baada ya mabishano ya hapa na pale. Kifupi dem alikuwa +ve.
Baada ya tukio hili jamaa akawa kama amepagawa na haelewi kama ni kweli yule dem alikuwa hajui hali yake ya maambukizi au alipanga kumwambukiza jamaa. Baada ya jamaa kutushirikisha hata sisi hatukuwa na majibu inakuwaje mtu awe na hali kama hiyo halafu anakaa kimya?
Vinginevo labda tuseme hajijui kama anao. Wakuu hii inawezekanaje au huyu bidada alitaka kumpasia jamaa maambukizi? Tuwe makini jamani, Upo.