dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani?
Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma.
Msaada tafadhali
====
Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma.
Msaada tafadhali
====
Mkuu wanajeshi hawana bima hilo la kwanza la pili ikitokea amekufa akiwa bado kazini inahisabiwa amekatisha mkataba hvy basi familia au mrithi wake watapewa mshahara wa Mareham kwa miezi sita yote kwa pamoja so hapo jeshi watakua wamemalizana na wafiwa. mfano Mareham alikuwa anapokea laki 7 kwa mwezi basi piga hiyo mara sita ndo pesa atakayepigana mrithi ambaye anaweza kua mtu yeyote ambaye yeye aliandika kama mrithi, na pia ikitokea muda wa kusataafu ukifika ila yeye akaongeza miaka hua inakua miwili kuongeza na bahati mbaya kwenye hiyo miaka miwili akafa basi napo itahisabiwa amekatisha mkataba hvy hatopewa pension yake ambayo alitakiwa kupewa asingeongeza mkataba. Nadhani kdg umenielewa ukiwa na swali uliza
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app