Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

Hahahahahaha dah matango pori sio poa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aiseeh hatari ! So kama anakufa na miaka 55 hivi pension wanapewa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
😁😁😁😁😁 du!
 
Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani?

Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea?

Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma.

Msaada tafadhali

====
Pia serikali hii imefuta ule utaratibu kwamba mstaafu akifariki, mjane wake anaendelea kupokea pensheni.
Mstaafu akifariki, na pensheni inasitishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje hii? Mwanajeshi akifa considered kasitisha mkataba? Vipi kuhusu Mafao yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…