Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

Kuna Dada mmoja anatoka na mwanajeshi siku si nyingi anaweza akaolewa.... Basy Kuna story Moja alinipa ya msoja aliyekufa kwa ajali nampunga familia yake uliyo vuta baada ya kifo kumbe yote ile ilikua chai dah!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

itakua sio chai, wale wanaofia kwenye mission za UN lazima wapewe mkwanja mrefu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwani wanashindwa? si ndio maana wakaitwa wanajeshi

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Hili la wanajeshi kutokua na bima ya Afya lilinishangaza sana wanatibiwa kwenye hospitali zao tu But hospitali nyingi za makambini dawa ni chache sana ukienda Lugalo Pako safi au upewe rufaa
 
Swala la mishahara mda mwingne huwa lina janja janja nyingi mfano mi bi mkubwa alikuwa mwalimu kagera akafariki 1996 ila tulipokuja kufatilia mirathi 2014 hadhina tulikuta yupo hai na mshahara alikuwa anapokea kama kawaida had 2009 na wanatwambia alikuwa anapokelea dodoma. Sasa hapo ndio jiulize ni nan aliekuwa anapokea huo mshahara na ss mhusika tuliisha zika na tangazo la kifo tunalo toka 96.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Itakuwa watu wa mifumo ndo wanakula huo mshahara vipi lakini mlifanikiwa Kupata hayo maokoto ya mirathi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…