Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kumbe eeeh na mimi mfano wangu ni wa mtu wa kusini. Asee wazee wa kule wana roho za pakaaHaya mambo kusini yapo sana
Kumbe kama ukifinikiwa huonesha tabasamu pana shida ipo wapiNimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata huonyesha tabasamu pana
Sio baba wadogo hao? Siamini aliekuzaa atafanya hayoNimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana