Hivi ni kweli ofisi ya DPP wamekuwa blacklisted uteuzi wa Ujaji?

Hivi ni kweli ofisi ya DPP wamekuwa blacklisted uteuzi wa Ujaji?

mimi wanachonichosha, wanachukua mtu huko wizarani hajawahi kwenda mahakamani hata 10, wengine TRA, wengine mashirika mbalimbali hawajawahi kwenda mahakamani, wanatusumbua sana mahakamani, hawajui. kwanini wasiwe wanachukua mawakili wa kujitegemea, mahakimu au hao madpp wanaoshinda mahakamani?
 
Back
Top Bottom