mama hepache
Senior Member
- Dec 22, 2018
- 132
- 118
Huku Moshi mjini watoto wameenda wiki iliyopita wakarudishwa na kuambiwa ofisi wamefunga. Sasa siju Kama wahusika wakuu wanajua?Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi??