M mama hepache Senior Member Joined Dec 22, 2018 Posts 132 Reaction score 118 May 27, 2020 #21 Deceiver said: Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi?? Click to expand... Huku Moshi mjini watoto wameenda wiki iliyopita wakarudishwa na kuambiwa ofisi wamefunga. Sasa siju Kama wahusika wakuu wanajua?
Deceiver said: Leo nilikwenda ofisi za NIDA Pwani pale Kibaha. Ili uingie NIDA inabidi kuanzia uhamiaji. Sasa ile nimefika uhamiaji wakaniambia NIDA hawafanyi kazi kisa KORONA. hebu wadau huko mliko NIDA wamefunga ofisi?? Click to expand... Huku Moshi mjini watoto wameenda wiki iliyopita wakarudishwa na kuambiwa ofisi wamefunga. Sasa siju Kama wahusika wakuu wanajua?