Hivi ni kweli Ommy Dimpoz hana mpenzi au mnamsingizia tu?

Hivi ni kweli Ommy Dimpoz hana mpenzi au mnamsingizia tu?

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
602
Reaction score
1,459
Siwezi kuamini kwa kweli kaka Handsome hivi hana hata mchumba jamani mnamsingizia tu labda ni msiri tu lakini anae.
IMG_20180503_155720_064.jpg
 
Aisee umenikumbusha ule ugomvi wao na Diamond kwenye kupumuliwa kisogoni..

Bila shaka ana ficha tuu lazima atakuwa na msichana
 
Masikio yako wazi huku mtaani kwetu
 
Ye mwenyewe mpenzi, akimpata mpenzi atamfanya nini?
 
Mleta mada umeuliza kwa sabau una mahaba na ommy dimpoz halafu unataka ujiweke kwake au kwa sababu unataka kuchoakonoa uvumbue mambo yaliyojificha?
 
Mdangaji karudi kwao , akipata sponsor anaanza kutusumbua na mapicha ka vile kahama nchi
 
Back
Top Bottom