Kweli chadema mkiambiwa Ninyi ni wanywa viroba mnakasirika lakini kwa Akili zenu hizi za kukurupuka bila kuangalia sheria inasemaje jina la wanywa faru john ni sahihi kabisa kwenu.
Niwa fahamishe tu kwamba isingewezekana Dkt Mpango ahutubie wakati Ameshatangazwa ushindi wa kura Maana baada ya kutangazwa Anakua Makamo wa Rais na katiba hairuhusu Makamo wa Rais kuhutubia bunge.
Ndio maana spika Akatumia Busara Autubie kama Mbunge kabla Hajawa Makamo baada ya Matokeo.
Lengo lenu Ninyi Ndugai Alishalijua Hapo Mmekosa Ajenda Nyau nyie.