Hivi ni kweli Spika Ndugai anailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano kama alivyoapa ama leo ametuchezea shele?

Hujamwelewa mleta mada ana hoja gani! Umekurupuka kujibu mkuu! Mleta mada anashangaa leo Ndugai nini nimetuma kuwa maininkiasi hicho wakati kuna matukio ya hovyo kabisa kayalingia kifua? Akatolea ma mfano kabisa hao wabunge COVID-19! Sasa wewe unamlaumu kwa lipi? Na ni wapi yeye amejitambulisha ni CHADEMA?
 
Weee endelea kulia huko na unyonge wako, tumeingia hatua nyingine huku kila kitu kiko peupe sasa
 
Huyo ni mgonjwa kichwani sio bure , vitendo ALIVYOVIFANYA awamu ya Jiwe sio mchezo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…