Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mfumo gani? Mfumo rasmi au mfumo wa kienyeji?Kwa mfumo uliopo, ndio.
Inaonekana ww ni afisa wa ikulu? Mazungumzo na rais yalikuwaje na aliahidiwa nn?Vyama vya upinzani Tanzania shida yao wanataka majimbo na ruzuku basi ndio lengo lao kuu...
Juzi Mbowe baada ya kuitwa Ikulu kaaidiwa neema kedeke kuhusu maslahi yake leo kapiga gia angani.
Ukisema katiba mpya ipo mikononi mwa Rais maana yako ipo mikononi mwa CCM, kifupi Chadema wamepigishwa magoti na CCM baada ya kurushiwa fupa la nyama.
Hujasikia Mbowe amesema ni siri atakuwa anatoa kidogo kidogo, na amesema katiba mpya sio muhimu kwa sasa.Inaonekana ww ni afisa wa ikulu.? Mazungumzo na rais yalikuwaje na aliahidiwa nn?
Swala la katiba ya nchi ni zaidi ya vyama vya siasa.Kwahiyo kama ulishindwa kujibu swali la mtoa mada bora ungekaa kimya ukasoma comments za wengine.Vyama vya upinzani Tanzania shida yao wanataka majimbo na ruzuku basi ndio lengo lao kuu...
Juzi Mbowe baada ya kuitwa Ikulu kaaidiwa neema kedeke kuhusu maslahi yake leo kapiga gia angani.
Ukisema katiba mpya ipo mikononi mwa Rais maana yako ipo mikononi mwa CCM, kifupi Chadema wamepigishwa magoti na CCM baada ya kurushiwa fupa la nyama.
Unaweza kufanya mkutano watu wawili faragha?.Yale ni mazungumzo ndo maana yakawa ya faragha.na ni tofauti kabisa na mkutano.Kwahiyo kama unashindwa kutofautisha mazungumzo na mkutano bila shaka wewe ndiye ambaye hujielewi bora ata hao unaowananga inawezekana wakawa wanajielewa kuliko wewe.Hao wanasiasa wenyewe wanaodai katiba mpya hawajielewi.
Eti Mbowe, mtu anayedai katiba mpya, anaenda kufanya mkutano na rais, halafu anawaambia watu kuna maneno ya siri wamezungumza.
Halafu watu wanamshangilia!
Kawaulize mazuzu wenzakoKwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la!
Anzia dakika ya 6:00 - 6:16 hivi.
Hivi ni kweli kabisa Rais ndiye mwenye uwezo huo?
Tukiachana na mazoea ya kijinga, uoga, na upumbavu wetu kiujumla, uwezo huo Rais wetu anautoa wapi?
Rais wetu yupo juu ya kila kitu? Yupo juu ya katiba? Yupo juu ya wananchi?
Kwa nini yeye ndiye awe mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la and not we the people????
Hii nchi kila kitu mambo ni kinyumenyume tu!
Ccm haitaki hayo majimbo na ruzuku?Vyama vya upinzani Tanzania shida yao wanataka majimbo na ruzuku basi ndio lengo lao kuu...
Juzi Mbowe baada ya kuitwa Ikulu kaaidiwa neema kedeke kuhusu maslahi yake leo kapiga gia angani.
Ukisema katiba mpya ipo mikononi mwa Rais maana yako ipo mikononi mwa CCM, kifupi Chadema wamepigishwa magoti na CCM baada ya kurushiwa fupa la nyama.
Labda awe afisa wa ikulu ya koromijeInaonekana ww ni afisa wa ikulu.? Mazungumzo na rais yalikuwaje na aliahidiwa nn?
Tatizo lako akili zako tangu uliopo zikabidhi kwa Jiwe bado hujarudishiwaHujasikia Mbowe amesema ni siri atakuwa anatoa kidogo kidogo, na amesema katiba mpya sio muhimu kwa sasa.
Nawaonea huruma wale vijana na tisheti zao #katibampya watavalia wapi tisheti zao.
PointKuna nchi ambayo inaweza kufanya mchakato wa katiba mpya bila maamuzi ya serikali?.Maana katiba mpya ni mchakato wa serikali na serikali iko chini ya Rais sasa hebu niambie nikwajinsi gani rais atakua hatoi kibali cha serikali yake kufanya huo mchakato.Tofauti na rais ambaye ni kiongozi wa serikali kuamua kuendesha huo mchakato sisi wengine kama wananchi kazi yetu inaishia kuipush serikali kwa hoja ili ione umuhimu wakufanya huo mchakato nasio zaidi ya hapo.Kwahiyo rais ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kwenye hili.
Wenye uamuzi wa mwisho ni wananchi!Kuna nchi ambayo inaweza kufanya mchakato wa katiba mpya bila maamuzi ya serikali?.Maana katiba mpya ni mchakato wa serikali na serikali iko chini ya Rais sasa hebu niambie nikwajinsi gani rais atakua hatoi kibali cha serikali yake kufanya huo mchakato.Tofauti na rais ambaye ni kiongozi wa serikali kuamua kuendesha huo mchakato sisi wengine kama wananchi kazi yetu inaishia kuipush serikali kwa hoja ili ione umuhimu wakufanya huo mchakato nasio zaidi ya hapo.Kwahiyo rais ndiye mwenye maamuzi ya mwisho kwenye hili.