Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
hahaaaaa!!!maji ya gold!Wengine wamejikita kwenye sanaa ya kunywa maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaaa!!!maji ya gold!Wengine wamejikita kwenye sanaa ya kunywa maji.
Haaaaaaaaaa mkuu kama Mimi senga namkubali sanaaaaaaaaaasoko la filamu limedorola hata Nigeria,wapi Ramsey Noah.
NOTE. bongomovie nlikuwa mshabiki wa Senga
Pana uzi humu mtu kauweka una past na present aibu!hahaaaaa!!!maji ya gold!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] yani wake kwa waume wanajichubua tu!!aibu yao movie zenyewe sifuri kabisa yani!Pana uzi humu mtu kauweka una past na present aibu!
Chameleon aliimba "basiima ugenze "Laiti sifa zote hizi angemwagiwa akiwa hai...!!
wabongo ndo kawaida yetu!ukifa ndo tunajua thamani yako!Chameleon aliimba "basiima ugenze "
Yaani wanakusifia ukiisha kufa
Binadamu wengi tupo hivyo nikikumbuka ni wachache sana waliosemwa kwa ubaya wao nikianzia na sani abacha lakini wengine watapakwa mafuta mpaka unashangaa.wabongo ndo kawaida yetu!ukifa ndo tunajua thamani yako!
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
maisha bila unafiki hayaendi!Binadamu wengi tupo hivyo nikikumbuka ni wachache sana waliosemwa kwa ubaya wao nikianzia na sani abacha lakini wengine watapakwa mafuta mpaka unashangaa.
Sana ndo mana hatuendelei, Kazi kugombanisha wasanii, hata huyo kanumba kabla hajafa kuna watu walikuw wanawapambanisha na ray ili mradi tu wasielewane, na hii ya diamond na ally kiba am very sure ni watz ndo wanakuza beef zao na ikitokea mmoja katangulia ( hatuombi itokee ila itakuwa coz huko ndo makaz yetu ya milele) utaona watu watakapoanza kuwamwagia sifa, hata yule aliyekuwa team pinzani.. Watz tuna unafiki mwingi mioyoni mwetuTuna chuki za ndani kwa ndani dhidi ya mafanikio ya watu!
Chausiku mwisho sichokagi kuiangalia ile movie[emoji3] [emoji3] [emoji3] yani wake kwa waume wanajichubua tu!!aibu yao movie zenyewe sifuri kabisa yani!
Ni ndo siangalii kabisa upuuzi huo,muvi ya mwisho ni chausiku basss...!!
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Maneno yako yamenikunbusha maisha na msiba wa Mzee Jumbe. Ndio watz tulivo. Hadi ktk siasa.Sana ndo mana hatuendelei, Kazi kugombanisha wasanii, hata huyo kanumba kabla hajafa kuna watu walikuw wanawapambanisha na ray ili mradi tu wasielewane, na hii ya diamond na ally kiba am very sure ni watz ndo wanakuza beef zao na ikitokea mmoja katangulia ( hatuombi itokee ila itakuwa coz huko ndo makaz yetu ya milele) utaona watu watakapoanza kuwamwagia sifa, hata yule aliyekuwa team pinzani.. Watz tuna unafiki mwingi mioyoni mwetu
Sanaa Tanzania ni danguro na genge la wahuni ukitaka dada yako kila siku akatwe mruhusu tu kuigiza
Na ushahidi mzuri tu yule babu Jengua anawakata watoto wadogo tu.