Hivi ni Kweli Tulihitaji Katiba Mpya au ilikuwa ni katika Njia tu za Kumsumbua Kikwete?

Hivi Kijo bisimba na Analelia Nkya wapo?
 
huu upumbavu nilivyosoma kichwa cha mada nikajua nakuja kuchangia mada nzito kumbe ni upumbavu upumbavu wa udini unaoendelea kichwani mwa baadhi wa watz wapumbavu na vilaza
 
Hieleweki
mkuu mbona hilo linafahamika?! hawa jamaa ni waajabu sana na niwabaguzi afadhali ya yule donald trump wa kule kwa mjomba obama! utafikiri sio wale waliokuwa wakihubiri katiba mpya kila kukicha. jiulize wako wapi wale wanafiki akina ajuza KIJO BISIMBA/BINYAU NA YULE KIKONGWE mwenzake ANANILIA mbege NKYA! binafsi sijapata jibu la swali hili; hivi huko madhabahuni kwao wanakoenda kila week huwa wanaenda kufundishwa kudhulumu?! hili swali langu kusema ukweli sijapata jibu! hii ni dhulma ya waziwazi kabisa!
 
huu upumbavu nilivyosoma kichwa cha mada nikajua nakuja kuchangia mada nzito kumbe ni upumbavu upumbavu wa udini unaoendelea kichwani mwa baadhi wa watz wapumbavu na ******

Unapokosa kufikiria critically au kuhoji huo ndio tunaita upumbavu,bila shaka ni sifa uliyoonyesha.Hakuna askofu,padri au mchungajia anayeongelea au kukosoa serikali tena na huo ndio unafiki dhahiri wanaouonyesha,dhambi yao na chuki za kidini ndizo zilizowafanya waingie kwenye masuala ya kisiasa na wengine kupokea fedha za wizi/ufisadi na kukumbatia mafisadi na hilo mungu alilionyesha hata JK hajaondoka.Wako wapi kina askofu Kilaini,Pengo na wengineneo wakosoe madudu na ukurupukaji wa huyu sasa? mbona hawaongelei teuzi za kikabila,kidini na kikanda zinazofanywa? Gawjima bado anamuandama JK kisa yeye Gwajima msukuma na yuko bize kumuombea msukuma mwenzie.
 
mkuu sidhani kama watakuelewa hao jamaa lakini. wanamacho/masikio lakini hawaoni/sikii kwayo. hiyo ni principle.
 
wewe ni miongoni mwa walewale madhulumati. kipindi mkimtukana ''mtangulia'' kuwa mdini tena mkisaidiana na viongozi wenu hamkuliona hili tena kwa sababu za kumsingizia. ila kwa sababu aliyepo madarakani ni wa kwetu ndo mnaji''fanya'' wenyewe kunyanyua hayo mabakuli yenu. sasa bila hata aibu unapinga hata hili la katiba lililowazi kabisa kuwa mmelipotezea kabisa. hujiulizi kama mfano hili la sukari kupamba kwa sababu tu ya kukurupuka tu bila kufanya utafiti lingetokea hapo kabla mngeharisha humu uharo wa kila aina, lakini sasa hivi pamoja na kuuziwa sukari mpaka 4000 mko kimya, kisa aliyepo madarakani wetu. ungekuwa na busara ungejipitia tu. usifikiri hatuoni. kusema ukweli nachelea kukutukana mbwa wewe kwa sababu ya sheria tu za jukwaa hili.
 
mkuu hawa jamaa kwa kweli ni wanafiki sijapata ona kwenye maisha yangu. kwa kweli M. Mungu awaongoze kuwaonyesha haki na ubaya wa dhulma.
 
Sasa hivi kuna juhudi kubwa sana kujaribu kuonyesha kuwa awamu iliyopita haina mazuri! ni dhambi kusema mazuri ya JK na awamu yake! ama kweli nchi ya kinafiki itabaki kuwa ya kinafiki
mkuu hayo tunayashuhudia kila kona ya nchi. hata lile daraja la kigamboni lililopewa jina la muasisi wa taifa hili anayesifiwa ni aliyekuwa waziri wa ujenzi tu kuwa amefanya kazi nzuri japo amekuta limekamilika. afadhali mwenye aliona hata umhimu wa yule aliyeidhinisha fedha za kujengea lila daraja na kumuita kuja japo kutoa salamu. lakini wapanga list walimuepuka kabisa. ONLY IN TANZANIA.
 
mkuu 2015 hata yale matamko ya viongozi wetu wa imani hayakuwepo tena kwa sababu ilikuwa ''sisi kwa sisi'' sipati picha kwa kura alizopata mpinzani wa karibu kama ingekuwa ndo ule wa 2010. hata mahubiri ya kwenye ibada ingekuwa ndo kila kitu achilia mbali matamko.
 
Kuna Radio ziliwahi fungiwa kwa mijadala ya aina hii, haya tuendelee.
salary slip unabisha kuwa siku hizi hata yale matamko ya viongozi wetu yamepita na pengine baadhi yenu mmeyasahau? ni nini kilichowasibu watamkaji? au rais aliyepo madarakani anafanya kila kitu efficiently 100%. e.g sukari. kama ndivyo mbona nyie kila siku mpo humu kulalamika kuwa kuna udikteta? au mnatania tu? tuambieni na sisi tujue kama myafanyayo ni maigizo.
 
Wewe ni mdini na unasambaza udini.Hivi waliosema JK alikuwa ni chaguo la Mungu walikuwa wa dini gani?Mbona hili hamuhoji?
salary acha unafiki. sema kama kuna hata moja katika haya tuna msingizia mtu. nimekuuliza mfano mmoja tu, yale matamko siku hizi yameishia wapi? au rais aliyopo madarakani anafanya kazi kwa ubora wa 100% acha kuendeleza unafiki.
 
mkuu labda kama kumbukumbu zako hazipo vizuri. lakini kuelekea ukingoni mwa utawala uliopita hatukuzungumzia kabisa suala hata la tume huru ya uchaguzi, pengine labda ni kwa sababu aliyekuwa anafuata ni wetu!
 
mkuu kuna wengine wapo hata humuhumu jukwaani kama yule ajiitae mzee mwanakijiji na mtizamo. wako wengi sana waliogeuka kwa wazi na kisiri kwa sababu hiyo. kwa kweli M. Mungu tu atuongoze.
 
Haya ni matatizo yenu - kwani mkisali Jumapili Mungu hasikilizi maombi yenu. Ua mnadhani kuwa Mungu analala Jumapili? Mbona wengine wanasali Ijumaa - tena siku ya kazi! lakini wapo Kimya!
acha kuchanganya mambo hapa. wasabato kwa imani yao, hawatakiwi kufanya kazi siku ya 7 (jumamosi), tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa mara baada ya kuswali waende wakatafute rizki.
waache watu waabudu kwa uhuru na kwa mujibu wa imani yao.
 
Mleta hoja umeanza vizuri tatizo umechanganya mada .

Tatizo la kutopata katiba mpya lipo Ccm na kwa sababu jambo hilo lina faida kwao kama chama dola. Pili waTz wameelekeza matamanio yao kwa utashi wa viongozi waliopo madarakani badala ya lile jambo lingewekwa kisheria.
 
umeelewa mada lakini?
Suala la katiba ilikuwa ajenda kuu ya akina padre slaa ambaye alifikia mpaka kuahidi kuwapatia wananchi katiba mpya ndani ya siku 100 kama atachaguliwa.
kutokana na Kikwete kuwa msikivu baada ya kuona hili ni hitajio la wengi akawapa walichotaka. kumbuka wakati anawapa alikuwa tayari ni rais na hakuna na cha kupoteza. mliendelea kurap huku mkisisitiza pia tume huru ya uchaguzi. lakini baada ya kuona kuwa safari hii ni wakwetu hata suala la tume huru likapotea kabisa kwenye vinywa vyenu. vipi yale matamko ya viongozi wetu yasiyoisha kipindi kile mbona hatuyasikii sasa hivi? au rais aliyepo madarakani anafanya kazi kwa ufanisi wa 100%? KAMA SIKOSEI PIA UCHAGUZI WA 2015 HATUKUUONA ULE WARAKA KAMA WA 2010 WA KUWAELEKEZA WAUMINI WETU KUCHANGUA VIONGOZI WACHA MUNGU. sijui haya yote huyakumbuki?
anyway, tunajua hii mada ni ya uchungu kwako. hata hivyo vumilia tu maana ukweli ndivyo ulivyo. hauchagui.
 
Mimi mwenyewe muislamu ila muislamu aliepita alikua ameifikisha pabaya kijiji chetu
umeelewa mada? au umetoka kunywa viroba na kuja kupost uharo humu? mada hapa ni kelele za katiba mpya zimepotea. haya rudi kwenye mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…