Mkwaha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 1,688
- 3,182
Inamaana Hadi Makonda,Wasira Nk. Nao Wako Chadema??.Ajabu waliongoza kupinga katiba ya warioba leo wote wapo cdm . Ha ha häaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana Hadi Makonda,Wasira Nk. Nao Wako Chadema??.Ajabu waliongoza kupinga katiba ya warioba leo wote wapo cdm . Ha ha häaa
Asante sana. We only need development and not religious activities.Naweza kuwaita ninyi wapuuzi tena wapuuzi kwelkweli. Mnayoyaongea hayana critics na hata chembe ya hoja kusupport mnachokisema. Na hata hilo mnalotaka kuliibua hamjui madhara yake. Laiti mngelikua meonja sumu ya udini, msingebinua midomo yenu kuongelea suala la dini kwenye public forum kama hii. Jaribuni kufiri namna ya kutatua matatizo yenu kwenye nyanja zote hasa maendeleo na si kuanza kuzusha mijadala yenye impact kubwa na sensitive kama dini. Watanzania tujifunze jaman!