Hivi ni Kweli Tulihitaji Katiba Mpya au ilikuwa ni katika Njia tu za Kumsumbua Kikwete?

Asante sana. We only need development and not religious activities.
 
wazo lako zur na hilo jambo nmekuwa nkirifikilia pia, ila natofautiana na ww katka hzo sababu
hapa swala cyo JK, wala udini hata kidogo,
tatzo hapa ni sehem ya kusemea
[HASHTAG]#Dodoma[/HASHTAG] kwa wagogo kumebanwa
[HASHTAG]#huku[/HASHTAG] mtaan ukiongea lazma uhesabu maneno yako na ufunge madirisha mana uktereza tu unaeza valshwa sare za S/M segerea
[HASHTAG]#kwenye[/HASHTAG] social media ndo vle tena (..bas bas ncjekutolewa mfano bure..)
Kumbuka pia huko kote mazur na ya kujengwa husemwa ambayo yamkini huambatana na mambo wacyopenda au kuwasilishwa wacvyopenda sasa hapo ndo busara ya kiranja wa zamu inahtajka
[emoji125] [emoji125] wacjewakanikuta
 
Watu wenye fikra zako wanapaswa kufikishwa mbele ya dola mara moja. Huu ndyo uchochez wa kupigwa vita na kila mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…