Ukifanya comparative analysis utagundua kuwa nchi za kimasikini uchumu ndiyo unakuwa kwa asilimia kubwa lakini kama nchi tayari ina maendeleo basi uchumi haukui kwa kasi sasa. Chukulia tu mfano huu. Mtoto akiwa mchanga ndipo unapo ona kasi kubwa ya ukuaji lakini mtu akishakuwa mtu mzima kasi ya ukuaji ni ndogo sana. kwa hiyo asilimia hiyo 7 ni ishara tu ya umasikini wetu.
Source: World Bank
Kwenye yellow ni "Low-income countries" na ukiangalia GNP yao inakuwa kwa wastani wa 5.9% na nyekundu ni "High income countries" na uchumi wao unakuwa kwa wastani wa 2.8%.
Tukija kwenye GNP per capita Low income countries zinakuwa kwa kasi ya 3.8% wakati High income countries zinakuwa kwa wastani wa 2.1%
Kwa hiyo mtu asipo jua kusoma data za ukuaji wa uchumi ndiyo hivyo anaweza kudanganyika na hiyo 7% ila ukweli ni kwamba nchi karibia zote masikini zinaonyesha ukuaji mkubwa zaidi kwa sababu kuna gap kubwa zaidi ya kucover. Au kweli mtu anaweza akaja na kutudanganya kuwa uchumi wa Tanzania unaokuwa kwa asilimia 7 una nafuu kuliko wa hizi nchi tajiri zinazo kuwa kwa asilimia 2.8?
Ni kweli kabisa. Maana asilimia7 ya huo uchumi, hauenndani na idadi ya watu tuliopo kwa sasa.unajuwa kipimo cha kupanda kwa uchumi,tusiangalie sana humu mijini na haya majedwali.hivi mwananchi wa kawaida hasa yule wa kijijini hizo asilimia 7 zina msaada gani kwake. Kuwa na msongamano wa magari barabarani na kumiliki simu tatu,nne na nk sio kigezo cha uchumi kupanda.mimi nadhani hizo 7 asilimia ni utofauti wa pengo kati ya walionacho na wasionacho.Ukifanya comparative analysis utagundua kuwa nchi za kimasikini uchumu ndiyo unakuwa kwa asilimia kubwa lakini kama nchi tayari ina maendeleo basi uchumi haukui kwa kasi sasa. Chukulia tu mfano huu. Mtoto akiwa mchanga ndipo unapo ona kasi kubwa ya ukuaji lakini mtu akishakuwa mtu mzima kasi ya ukuaji ni ndogo sana. kwa hiyo asilimia hiyo 7 ni ishara tu ya umasikini wetu.Source: World BankKwenye yellow ni "Low-income countries" na ukiangalia GNP yao inakuwa kwa wastani wa 5.9% na nyekundu ni "High income countries" na uchumi wao unakuwa kwa wastani wa 2.8%. Tukija kwenye GNP per capita Low income countries zinakuwa kwa kasi ya 3.8% wakati High income countries zinakuwa kwa wastani wa 2.1%Kwa hiyo mtu asipo jua kusoma data za ukuaji wa uchumi ndiyo hivyo anaweza kudanganyika na hiyo 7% ila ukweli ni kwamba nchi karibia zote masikini zinaonyesha ukuaji mkubwa zaidi kwa sababu kuna gap kubwa zaidi ya kucover. Au kweli mtu anaweza akaja na kutudanganya kuwa uchumi wa Tanzania unaokuwa kwa asilimia 7 una nafuu kuliko wa hizi nchi tajiri zinazo kuwa kwa asilimia 2.8?
Ulizeni wazee wenu kama waliweza hata kuyaongea hayo miaka 25 iliyopita, ndio mtajua kama uchumi unakua au unashuka.
Sio Tanzania ya miaka 25 iliyopita. Uliza wazee wako wakueleze labda wao utawaelewa.
??? You are confusing yourself now.
Ulizeni wazee wenu kama waliweza hata kuyaongea hayo miaka 25 iliyopita, ndio mtajua kama uchumi unakua au unashuka.
Nadhani hapa FaizaFoxy unataka kusema miaka 25 iliyopita uchumi ulikuwa umeshuka sana. Lakini kumbuka wakati huo Tanzania ilikuwa a closed economy na ulitegemea zaidi kilimo. Hata hivyo uchumi huo wa pareto, pamba n.k ulitosheleza kutoa huduma za afya bure, elimu bure, kujenga reli, kununua ndege, na mtu aliweza kuishi kwa mshahara wake. Na ni mara chache sana tulisikia viongozi wetu wakiongea ukuaji wa uchumu in statistical terms. Kwa mwananchi wa kawaida whether uchumi unakuwa kwa 1% au kwa 20% of no value kwake kama maisha yake ni duni na hana huduma muhimu i.e maji, matibabu, chakula na malazi bora.
Na hiki ndicho watu wanaongelea kwa sasa kwamba hizi number wanazotupa viongozi wetu wanatoa wapi hasa wakati in reality watu wanabangaiza maisha? Mara zote viongozi hawa wanaongelea GDP, lakini nadra kuongelea GNP. It will also be interesting kama wangeongelea Gini-coefficient (hii inaonesha gap kati ya maskini na matajiri).
Mi siamini if this is true, nahisi hizi data zinapikwa..what are your comments guys?