Viral load wanakua chini sana hata kwenye damu hawezi kuwa detected wanajificha kwenye viungo, Ila kukiwa na matumizi ya ARVs kwa 100 kwa waathiraka wote ukimwi utatokomezwaYes nikweli.
Ikiwa mama amepata maambukizi ya HiV na akatumia ArV kwa usahihi, basi mama huyo amaweza asimuambukize mtoto virusi na hata mume wake pia.
Mengini nitakueleza kwa kirefu nikipata nafasi
Kuna program inaitwa PMTCT( prevention to mother and child transmission).How? Hiyo mechanism imekaaje mkuu?
Ukiona mama hanyonyeshi mtoto wake jua huyo ni muathirika na anamkinga mtoto wake asipate maambukiziKuna Mtoto alizaliwa mwaka 2009 wazazi wake walikuwa waathirika na walifariki miaka minne baadae. Mtoto inasemekana hakupata maambukizi wakati wa kujifungua . Mtoto Sasa hivi yupo darasa la saba na anaonekana ana afya njema Tu.
Je ni Kweli kabisa waathirika wanaweza kujifungua Mtoto asie na maambukizi na akaweza kusurvive ?
How?
PMTCT=Prevention of mother-to-child transmissionKuna program inaitwa PMTCT( prevention to mother and child transmission).
Mama akipima afya akiwa na maambukuzi ya HIV ataanzishiwa dawa, au atakuwa ameshaanza kutumia dawa kupitia CTC.
Kumbuka maambukuzi ya mtoto hutokea akiwa tumboni( kabla mtoto kuzaliwa wakati wa mimba), pia hutokea wakati wa kujifungua na kunyonyesha.
Dawa za ARV zikitumiwa kwa usahihi na wakati muafaka husaidia kufubaza virusi, kupunguza viral load na kuongeza kinga ya mwili.
Pia wakati kichanga kinazaliwa kinapewa dawa za ARV na dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi.
Jitihada zote hizo zikifanyika mtoto atazaliwa bila na maambukizi.
Ahsante kwa marekebisho mkuuPMTCT=Prevention of mother-to-child transmission
Ni hivyo tu?Je, kama anaumwa ugonjwa mwingine tu ambao si huo uuelezao?Au,maziwa yake yana changamoto nyingine zimzuiazo kunyonyesha?Think about it!Ukiona mama hanyonyeshi mtoto wake jua huyo ni muathirika na anamkinga mtoto wake asipate maambukizi
Wananyonyesha km kawa hadi miezi 6 bila kumpa chakula wala maji !!Ukiona mama hanyonyeshi mtoto wake jua huyo ni muathirika na anamkinga mtoto wake asipate maambukizi
Si kweli.Ukiona mama hanyonyeshi mtoto wake jua huyo ni muathirika na anamkinga mtoto wake asipate maambukizi
So ni kwamba anazaliwa akiwa Hana maambukizi kabisa? Au hiyo program inasaidia kufubaza virusi WA Mtoto husika?Kuna program inaitwa PMTCT( prevention to mother and child transmission).
Mama akipima afya akiwa na maambukuzi ya HIV ataanzishiwa dawa, au atakuwa ameshaanza kutumia dawa kupitia CTC.
Kumbuka maambukuzi ya mtoto hutokea akiwa tumboni( kabla mtoto kuzaliwa wakati wa mimba), pia hutokea wakati wa kujifungua na kunyonyesha.
Dawa za ARV zikitumiwa kwa usahihi na wakati muafaka husaidia kufubaza virusi, kupunguza viral load na kuongeza kinga ya mwili.
Pia wakati kichanga kinazaliwa kinapewa dawa za ARV na dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi.
Jitihada zote hizo zikifanyika mtoto atazaliwa bila na maambukizi.
Asante kwa kunisaidia chief.Kuna program inaitwa PMTCT( prevention to mother and child transmission).
Mama akipima afya akiwa na maambukuzi ya HIV ataanzishiwa dawa, au atakuwa ameshaanza kutumia dawa kupitia CTC.
Kumbuka maambukuzi ya mtoto hutokea akiwa tumboni( kabla mtoto kuzaliwa wakati wa mimba), pia hutokea wakati wa kujifungua na kunyonyesha.
Dawa za ARV zikitumiwa kwa usahihi na wakati muafaka husaidia kufubaza virusi, kupunguza viral load na kuongeza kinga ya mwili.
Pia wakati kichanga kinazaliwa kinapewa dawa za ARV na dawa za kuzuia magonjwa nyemelezi.
Jitihada zote hizo zikifanyika mtoto atazaliwa bila na maambukizi.
Wewe usiwapoteze wenzio Ukimwi upo na utaendelea kuwepo muhimu ni kufuata masharti na kama unao kula DoziUKIMWI NI UGONJWA BANDIA KWA AJILI YA PROJECTS ZA WATU.
MNATAKIWA KUELEWA HILO KUANZIA SASA.
Pamoja sana mkuuAsante kwa kunisaidia chief.
Bilashaka LIKUD amepata majibu mujarab kabisa
Sio kweli!!hata mama kama ni muathirika huwa wanashauliwa kumyonyesha mtoto miezi sita tu ya mwanzo na sio zaidi.Ukiona mama hanyonyeshi mtoto wake jua huyo ni muathirika na anamkinga mtoto wake asipate maambukizi
Ila ni miezi sita , na sio zaidi ya hapo.kwani baada ya hapo haishauliwi kwani akianza kuota meno, anaweza akang'ata chuchu za mama na kuweza kupata maambukizi, kupitia damu.Si kweli.
Mama mwenye maambukiz ya VVU ananyonyesha vizuri tu, bila shida yoyote na mtoto hapati maambukizi.