Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Aiseeee hemed aliwahi kusema kalelewa na mjombaNa Hemed phd nimemsikia Jana alitelekezwa na baba yake
Hata zuchu naye khadija kopa ( mama ake) anasema baba ake pia alimtelekezaNa Hemed phd nimemsikia Jana alitelekezwa na baba yake
Familia nyingi za kiafrica tuliokulia maisha ya tia maji tia maji ni single mothers!!Imekuwa kama fashion, sasa sijuii ni kweli au ndo muendelezo wa kina baba kutengwa kwenyw kula mema ya watoto wao? jana nilikuwa na sikiliza kipindi cha the switch wasafi pale kwenye segment ya cha kijani mama wa msanii mario alikuwa ana hojiwa akasema amemlea mwanae peke yake baba yake alimtelekeza
Diamond naye baba yake alimtelekeza, Ommy dimpoz baba yake naye alimtelekeza, Mwana FA naye baba alimtelekeza, Ney wa mitego kila siku anamuonesha mama ake tu sijawahii kumuona baba, inatia mashaka kweli kama ni tabia zetu kweli wakina baba tuache aise
Nionyeshe msanii mmoja aliyetelekezwa na baba huku mama akiwa kwenye ndoa!! Hii ndio tofauti ya kuzaa kwenye ndoa na nje ya ndoa.Familia nyingi kina mama ndio wapambanaji,
Wazee wanahesabu mifugo, mazao na kupiga ulabu.
Mtoto anakua mtu wake wa karibu ni mama.
Wazee wajisahihishe.
Mie mtoto kaambiwa nimekufaa ..Tatizo ni moja, wanawake mkishaachana wanatia chuki mbaya kwa watoto, Kuna siku niligindua hili hivyo nikarudi kwa Mzee Kama kawa, hata nikashangaa yaani kumsogelea tu , kila kitu akanisaidia shule, gharama za chuo, mpaka leo tuko close Sana, simu nikilishwa mapema but NASHUKURU God alinifumbua kwamba so kila Mara wazee hawatupendi but lipo lingine nyuma ya yote
Hatari hiiMie mtoto kaambiwa nimekufaa ..
Hii ipo anaenda kuoa njeMimi baba yangu alinitelekeza nikiwa chuo nilipambana still baadae nkampa nafasi yake kama baba..nadhani hii ni same na kinachotokea katika maisha ya hawa wasanii sidhani kama wanawatelekeza from day one kuna kipindi tu cha maisha kinatokea baba kashikwa na mwanamke nje anashindwa kukumbuka familia yake mimi baada ya kugundua hivyo niliamua kusamehe tu maana nkajua mzee hakuwa tena kwenye akili zake