Hivi ni kweli watu wana rogwa au ni stori tu tom and jerry

Uchawi haupo. Ila imani juu ya uchawi ipo kwenye mindset za wajinga


  • UCHAWI - Hizi ni imani zilizotokana na ujinga. Mjinga asipoelewa kitu anasingizia uchawi. Zamani magonjwa yote yalihusishwa na uchawi. Hata wazungu walikuwa hivyo nyakati za kale hasa ( middle age / Victorian era.
  • Watu wengi wanaoamini uchawi sababu kuu ni wana misunderstanding of science, superstition is “an irrational belief arising from ignorance or fear.”

  • Oxford Dictionary inasema superstition (ushirikina) is abelief that is not based on human reason or scientific knowledge, but is connected with old ideas about magic, etc.:
  • superstition is a belief that is not based on reason or scientific thinking and that explains the causes for events in ways that are connected to magic:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…