Hivi ni kweli watu wana rogwa au ni stori tu tom and jerry

Hivi ni kweli watu wana rogwa au ni stori tu tom and jerry

nimeuliza swali kwa Artificial intelligence ya Chat gpt if witchcraft exist

Jibu la chat gpt ni hili hapa

ChatGPT said:​

ChatGPT
In a supernatural sense, there is no scientific evidence that witchcraft—meaning the ability to manipulate reality through magic—actually works. Science relies on testable, repeatable results, and supernatural claims about witchcraft have never been proven under controlled conditions.
However, many people believe in and practice witchcraft as a spiritual or mystical tradition. They may feel that spells, rituals, and intentions influence their lives in meaningful ways, even if these effects can often be explained through psychology, coincidence, or personal belief.
So, while witchcraft exists as a belief system and practice, there is no verifiable evidence that it has supernatural power. Would you like to discuss any specific aspects of it?


Hivyo UCHAWI wenye nguvu ya kumdhuru mtu ama kumroga NI HAUPO. Uchawi Ni myth tu
 
jama jamaa wasiwakute kuna mtu wakaribu toka nitoke alirushiwa lakurushiwa akaondoka home kipindi icho alikuwa biashara tena ilikuwa prime sababu alikuwa anadeal na tourism sector,mazao shambani heka 6 ,madumu ya alizeti 29,kuku, nguruwe na alikuwa kuna mishe wanabonga na mchina tena la maana sana siku hiyo kaamka akaondoka home kaacha kila kitu hadi kadi ya benki,nida akapotea 2 year tunakuja mkuta mpakani huko kawa chokoraa kabisa msiombee yawakute .....kiroho ameshakaa vizuri psychology ndo anaendelea kuregain jamani yaliomo yamoo.....jilindeni spiritual kwanza haya mambo yapo
 
Mi nadhani mababu zetu walikuwa na elimu kubwa zaidi kuhusu uchawi lakini kwanini mzungu akawatawala, akawapiga, akawaua, wakapelekwa utumwani, kwanini wasingetumia teknolojia hio kuroga wazungu?

1974 world cup Zaire now DRC chini ya Mobutu alipandisha ndege wachawi wote nguli kuelekea Germany ambako kombe la dunia lilipokuwa linafanyika, ili waroge Zaire ishinde, matokeo yake Zaire walipigwa 9-0 jumla . Huwa tunasikia kila aina ya story jinsi Congo kulivyo na waganga na wachawi hatari, kwanini walishindwa kuroga?
 
Uchawi upo na unatenda kazi katika mazingira yetu yote sema kadri unavyokua mgumu kukubali unakuwa ni sawa na upo katikati ya barabara kubwa huku ukiwa umefungwa kitambaa usoni.
Ukidumudumu muda mrefu hujagongwa maana yake ni utashi wa madereva kwakua wanakuona.
Wanyama wamewekewa sheria huko porini kwakua hawaelewi na hawawezi kukabiliana na sisie,, hivyo kuna taratibu ngumungumu huko upande wa pili ndio maana unaona tuko salama kiasi fulani.
Ukidhurika na haya mambo ujue either umefungua mlango mwenyewe au watu wa damu yako walifungua milango kwa kujua au pasipo kujua hivyo mtu mwenye chuki na wewe/ sanasana ndugu au watu wenye ukaribu na wewe wakikudhamiria mabaya inakua rahisi kama kusukuma mlevi.



Hakiamungu hii ni mambo mbaya!
Nilikuwa mbishi kwenye mambo ya kiimani lakini kwa sasa naomba nivunge
 
Back
Top Bottom