Hivi ni kweli watu wana rogwa au ni stori tu tom and jerry

Hesabu 24
1 Basi Balaamu alipoona ya kuwa ilimpendeza Bwana kuwabariki Israeli, hakwenda, kama hapo kwanza, ili kutafuta uchawi, bali alielekeza uso wake jangwani.

1 Samweli 15
23 Kwani kuasi ni kama dhambi ya uchawi, Na ukaidi ni kama ukafiri na vinyago; Kwa kuwa umelikataa neno la Bwana, Yeye naye amekukataa wewe usiwe mfalme.

2 Wafalme 17
17 Wakawapitisha watoto wao, waume na wake, motoni, wakapiga ramli, wakafanya uchawi, wakajiuza nafsi zao wapate kufanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, hata kumkasirisha.

Hapo vipi bado hamuamini kuwa uchawi upo?
 
🫨🫨🫨🫨
 
Stori ni nyingi hadi we mwenyewe unaweza kuhisi umerogwa kweli.

Ipi ni stori ya ukweli ya uchawi wa kurogana na mambo ya kutupiana laana

Karibuni
Fuatilia hii👇
 
Stori ni nyingi hadi we mwenyewe unaweza kuhisi umerogwa kweli.

Ipi ni stori ya ukweli ya uchawi wa kurogana na mambo ya kutupiana laana

Karibuni
labda niiweke hivi;

uchawi haupo.

hakuna hasara za kutokuamini kwenye uchawi,

kuna hasara za kuamini kwenye uchawi.
Uchawi upo na wote nyie mnaosema haupo mko sahihi kwa upande mmoja kwa sababu hamjui uchawi unafanyaje kazi na kuroga kukoje. Mimi nimepitia kwenye mengi sana na yamenifunza vingi sana na ninaweza kukujibu kila kitu kwa undani na ukajua uchawi upo na hata mindset mlizonazo zinatokana na uchawi. Labda niwape mfano, Kuna jamaaalikua anafanya biashara na asubuhi alivyoamka alikuta vitu kama unga vimemwagwa mlangoni kwenye biashara yake kitu kilichomfanya ahisi kuna mtu anajaribu kumroga ila akapuuza kwa sababu haamini ishu za uchawi, kesho yake biashara ilikua sio nzuri na baada ya muda yule jamaa alikuja kufunga biashara baada ya kufulia...Alikua haamini kama uchawi ungemharibia biashara yake. SASA NINA SWALI MOJA, Unafikiri ule unga uliomwagwa ndio chanzo cha yule mtu kufail kibiashara? Najua jibu lako ni HAPANA na mimi Jibu langu pia ni HAPANA...ila ujibadilisha mindset ya yule muuza duka na alipokutana na changamoto akikumbuka na alichokiona akawa anapoteza motivation ya kuimprove na akawa anajiona hana bahati hadi mwisho kufunga. Nitakuuliza swali lingine MINDSET YA YULE MTU IMEKUWA INFLUENCED NA UNGA ALIOONA NA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA JE HUO NI UCHAWI? Wewe utasema HAPANA mimi itakuambia NDIYO...kwa sababu uchawi unafanya kazi kwa namna hiyo na mara nyingi sio miujiza kama unavyodhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…