Hujajibu swali moja badala yake unaleta mambo mengine bila msingi.Namba zako sio hitimisho....ni za wayahudi pia....
Asante kwa hoja pia...matini ndefu tushiriki pamoja picha kutoka upande mwingine wa shilingi....Russia..french revolutions zote zilikuwa orchestrated na wayahudi...hatugombani ndugu tueleweshane....Mungu sio myahudi
The Men Who Caused the French Revolution 1789Hujajibu swali moja badala yake unaleta mambo mengine bila msingi.
Myahudi gani alikuwa muhimu katika mapinduzi ya Ufaransa??????
Asante Kaka...make kipala ananisumbua haelewi hoja ya msingiHujaeleza vizuri.
In short dunia inatawaliwa na wayahudi hadi sasa. Marekani ni wayahudi kijeshi, uingereza, ufaransa na ujerumani pia. Jeshi ndiyo nchi. Uimara wa jeshi ndiyo uimara wa utawala. Huwezi kuwagusa wayahudi kuitawala dunia bila kuligusa kanisa katoliki.
Dunia nzima hadi sasa inatawaliwa na wayahudi kupitia viongozi wa kanisa katoliki duniani.
Ukiligusa kanisa katoliki popote umeigusa Vatican na wayahudi pia.
Nadhani washauri wakuu wa marais waliopita marekani kuhusu masuala ya uchumi ni Zignew Brensizk huyu pia alikuwa mshauri wa papa ktk masuala ambayo siwezi kuyaweka wazi sana.
Kwa ufupi wayahudi ni watu jasiri ambao huwa hawashindwi na sasa wametengeneza wayahudi wengi dunia nzima kupitia dini na siasa na mambo ya ujasusi wa vita.
Unaleta madai bila msingi wowote. Taja majina. Wapi katika Jeshi la Ujerumani Wayahudi???Hujaeleza vizuri.
In short dunia inatawaliwa na wayahudi hadi sasa. Marekani ni wayahudi kijeshi, uingereza, ufaransa na ujerumani pia. Jeshi ndiyo nchi. Uimara wa jeshi ndiyo uimara wa utawala. Huwezi kuwagusa wayahudi kuitawala dunia bila kuligusa kanisa katoliki.....
Unakubali kuwa walikuwepo wachache huko marekani sasa hivi hao wachache wako wapi na nchi gani na wanafanya nini. Je hawakuongezeka?. Leta hoja siyo ubishi.Myahudi gani alikuwa muhimu katika mapinduzi ya Ufaransa?
Unaleta madai bila msingi wowote. Taja majina. Wapi katika Jeshi la Ujerumani Wayahudi???
Wapi katika jeshi la Ufaransa ???
Huko Marekani kulikuwa na wachache.
Kabla ya hatujaendelea, taja majina na eleza kwa maneno yako umuhimu wao katika maamuzi gani.
Kama huna, basi tuache.
Anakubali na kupingaAsante Kaka...make kipala ananisumbua haelewi hoja ya msingi
Hujajibu swali moja badala yake unaleta mambo mengine bila msingi.Namba zako sio hitimisho....ni za wayahudi pia....
Asante kwa hoja pia...matini ndefu tushiriki pamoja picha kutoka upande mwingine wa shilingi....Russia..french revolutions zote zilikuwa orchestrated na wayahudi...hatugombani ndugu tueleweshane....Mungu sio myahudi
Hujaleta jina moja.The Men Who Caused the French Revolution 1789...
Hasa hii: kwa nini Wajerumani wanakubaliana ya kwamba Hitler alikuwa mhalifu aliyeanza kuharibu nchi kuanzia 1933 (si tu kuanzia Vita Kuu ya Pili)? Na hapa msingi wa mambo yanayotajwa kote duniani na wanahistoria.Tuhuma kwa Adolph Hitler ni fantasy za myahudi...
Naomba usijaribu kuepukana na maswali kwa kuleta maswali mapya. Wewe ulidai Wayahudi wanatawala Jeshi la Ujerumani, Ufaransa na Marekani.Unakubali kuwa walikuwepo wachache huko marekani sasa hivi hao wachache wako wapi na nchi gani na wanafanya nini. Je hawakuongezeka?. Leta hoja siyo ubishi.
Tatizo hata thread hujailewa. Thread inataka ukubali au ukatae kwa hoja zako. Sasa wewe kama huamini niliyoyaeleza subiri wakati ukifika ndipo utajua.Naomba usijaribu kuepukana na maswali kwa kuleta maswali mapya. Wewe ulidai Wayahudi wanatawala Jeshi la Ujerumani, Ufaransa na Marekani.
Unaweza kutangulia kwa kuonyesha elimu yako kuhusu Ujerumani na Ufaransa. Nani???
Na Marekani unahitaji kuwataja mwenyewe, maana wewe ulileta dai. Unaweza, je?
Hata masonic ni wao,na vitabu vya dini vimeandika historia yaowayahudi wanatawala , matajili wote 89 % duniani ni wayahudi benki zote za wayahudi , Hollywood cinema zote zao , 89 % magazeti zao tv news zao zaidi ya hapo ushatawala dunia
Bado unakimbia kila swali. Nasubiri !!!Tatizo hata thread hujailewa. Thread inataka ukubali au ukatae kwa hoja zako. Sasa wewe kama huamini niliyoyaeleza subiri wakati ukifika ndipo utajua.
Moja ya vipengele vilivyopo ktk katiba ya marekani ni kumtaka rais yeyote anayeitawala marekani kuitambua Israel na ikiwa hawezi basi hafai kuwa rais haijalishi huyo rais ni mwislamu au laa....
Naomba usijaribu kuepukana na maswali kwa kuleta maswali mapya. Wewe ulidai Wayahudi wanatawala Jeshi la Ujerumani, Ufaransa na Marekani.
Unaweza kutangulia kwa kuonyesha elimu yako kuhusu Ujerumani na Ufaransa. Nani???
Na Marekani unahitaji kuwataja mwenyewe, maana wewe ulileta dai. Unaweza, je?
Ndugu kipala by ruling the world we mean myahudi anatawala misingi mitano ya global production yaani... religion, academic, cultural , financial na political...nadhani na wewe ni zao la decadent Jewish propagandaHujajibu swali moja badala yake unaleta mambo mengine bila msingi.
Myahudi gani alikuwa muhimu katika mapinduzi ya Ufaransa?
Hujaleta jina moja.
Kitabu unacholeta ni cha William Guy Carr. Je una msingi wowote wa kufanya utathmini?
Nilisoma historia ya Mapinduzi ya Ufaransa. (bila shaka wewe hujaisoma, sivyo?) Anachoorodhesha ni madai matupu kuhusu Wayahudi kuongoza mapinduzi haya kwa siri. Hataji chanzo chochote.
Historia si mchezo vile. Ni kazi na leo hii tunaweza kufuatilia hati za zamani ambazo zimeshachapishwa, zinajulikana, zimejadiliwa na maelfu wa wanahistoria kote duniani. Bwana Carr hakuwa mwanahistoria. Hana utaalamu.
Kama wewe unayoo - basi lete vyanzo, majina, tarehe na mahali ambako mambo yalitokea.
Kama huwezi - basi ni bure.
Bado hujajibu hata swali moja niliyouliza.
Hasa hii: kwa nini Wajerumani wanakubaliana ya kwamba Hitler alikuwa mhalifu aliyeanza kuharibu nchi kuanzia 1933 (si tu kuanzia Vita Kuu ya Pili)? Na hapa msingi wa mambo yanayotajwa kote duniani na wanahistoria.
Asante nduguTatizo hata thread hujailewa. Thread inataka ukubali au ukatae kwa hoja zako. Sasa wewe kama huamini niliyoyaeleza subiri wakati ukifika ndipo utajua.
Moja ya vipengele vilivyopo ktk katiba ya marekani ni kumtaka rais yeyote anayeitawala marekani kuitambua Israel na ikiwa hawezi basi hafai kuwa rais haijalishi huyo rais ni mwislamu au laa.
Fukua uelewe siyo kukalia povu. Mimi si mkatoliki lakini hilo kanisa ni maji marefu ndilo linaloweza kudetermine aina ya uongozi kwa asilimia kubwa.
Rais Nyerere aliwahi mfukuza balozi wa Italy nchini lakini bado alisahau kuwa maaskofu wote mpaka kadrinali wanatuma taarifa za kanisa mpaka nchi huko kwa papa.
Kama huwajui wayahudi kakojoe ulale.
The Jewish lobby aambayo ndio tajiri zaidi wanafund campeni na wagombea ambao Wana sapoti Sera za Israel...usipo sapoti Israel hupitiBado unakimbia kila swali. Nasubiri !!!
Badala yake unaleta mambo mapya bila msingi. Wapi katika Katiba ya Marekani (nikusaidie: Matini iko hapa https://www.senate.gov/civics/constitution_item/constitution.htm) kuna kipengele kuhusu Israel???
Lete majibu, naomba sana !